Diocese of Marsabit

WAZAZI KATIKA KAUNTI YA MARSABIT WAHIMIZWA KUWAJIBIKA KWA KUCHUNGA WANAO KATIKA KIPINDI CHA LIKIZO NDEFU YA MWEZI DISEMBA.

Wazazi katika kaunti ya Marsabit wahimizwa kuwajibika kwa kuchunga wanao katika kipindi cha likizo ndefu ya mwezi Disemba. Huku wanafunzi wakitarajiwa kuelekea likizo ndefu ya mwezi disemba, wazazi katika kaunti ya Marsabit wamehimizwa kuwajibika kwa kuchunga wanao kipindi hicho cha likizo. Ushauri huo umetolewa naye mkurugenzi mkuu wa shirika la[Read More…]

Read More

IDARA YA USALAMA JIMBONI MARSABIT IMEANZA MCHAKATO WA KUWAPIGA MSASA WATU WATAKAOJIUNGA NA MAAFISA WA AKIBA NPR.

Katika juhudi za kuimarisha usalama jimboni Marsabit idara ya usalama imeanza mchakato wa kuwapiga msasa watu watakaojiunga na maafisa wa akiba NPR. Akizungumza na shajara ya radio Jangwani kamanda wa Kaunti hii ya Marsabit Leonard Kimaiyo amesema kuwa maeneo yaliyo mipakani yatapewa kipaumbele kutokana na utovu wa usalama ambao umekuwa[Read More…]

Read More

WALIOPATA UJAUZITO NA KUKATISHA MASOMO YAO WAREJESHWE SHULENI ILI WAENDELEE NA ELIMU. – ASEMA MKURUGENZI WA ELIMU, KAUNTI YA MARSABIT PETER MAGIRI.

Ni wakati wa kuasi mila potovu na kurusuhu wasichana katika kaunti ya Marsabit kusoma. Haya yamekaririwa na mkurugenzi wa elimu katika kaunti ya Marsabit Peter Magiri. Akizungumza katika eneo la Kalacha, wakati wa hafla ya wazee wa jamii ya Gabra kupiga marufuku tamaduni ya kuwaoza wasichana waliochini ya umri wa[Read More…]

Read More

ZOEZI LA KUWAPIGA MSASA WATAKAOJINGA NA MAAFISA WA AKIBA NPR KATIKA KAUNTI NDOGO YA MARSABIT NORTH KUNG’OA NANGA HII LEO.

DCC wa eneo la Marsabit North (Maikona) Pius Njeru amewataka wazazi katika kaunti ya Marsabit kuhakikisha kwamba wanawapeleka watoto shuleni bila kuwabagua. Akizungumza katika eneo la Kalacha wakati wa hafla ya wazee wa jamii ya Gabra kupiga marufuku tamaduni ya kuwaoza wasichana waliochini ya umri wa miaka 18, DCC Njeru[Read More…]

Read More

WAZEE WA JAMII YA GABRA (YAA) WAPIGA MARUFUKU TAMADUNI YA KUWAOZA WASICHANA WALIOCHINI YA MIAKA 18.

Sasa ni afueni kwa wasichana kutoka jamii ya Gabra katika kaunti ya Marsabit baada ya wa wazee wa jamii hiyo maarufu YAA kupiga marufuku tamaduni ya kuwaoza wasichana waliochini ya miaka 18. Hafla hiyo iliyofanyika katika eneo la kitamaduni, katika kijiji cha Kalacha na kufadhiliwa na shirika la kutetea haki[Read More…]

Read More

WEZI WA MIFUGO KUTOKA KAUNTI JIRANI ZINAZOPAKANA NA KAUNTI YA MARSABIT WAONYWA VIKALI DHIDI YA KUTEKELEZA MASHAMBULIZI JIMBONI MARSABIT.

Wahalifu wa wizi wa mifugo kutoka kaunti jirani zinazopakana na kaunti ya Marsabit wameonywa vikali dhidi ya kutekeleza mashambulizi hapa jimboni Marsabit. Ni onyo ambalo limetolewa na kamishna wa kaunti ya Marsabit James Kamau. Onyo hili linajiri kufuatia jaribio la wizi wa mifugo wiki jana katika eneo la Ell Nedeni[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter