Diocese of Marsabit

BAADHI YA VIONGOZI WA KIDINI NCHINI WAMEKOSOA VISA VYA UTEKAJI NYARA NCHINI WAKISEMA VINAENDELEA KUONGEZEKA.

Baadhi ya viongozi wa kidini nchini wamekosoa visa vya utekaji nyara nchini wakisema vinaendelea kuongezeka. Wakiongozwa na Kiongozi wa dini ya Kiislamu Famau Mohamed Famau na Askofu wa kanisa Katoliki Dayosisi ya Malindi Willybard Lagho ambao kauli zao zimejiri kufuatia utekaji nyara wa raia wa Uturuki wamesema utekaji nyara utasababisha[Read More…]

Read More

MABALONZI WA AMANI MARSABIT WATUZWA KATIKA SHEREHE ZA MASHUJAA.

Wito wa amani umeendelea kutolewa kwa wakaazi jimboni Marsabit. Wakizungumza hapo jana wakati wa sherehe ya siku kuu ya Mashujaa iliyoandaliwa katika eneo la Kubi Dibayu wadi ya Sagante Jaldesa eneo bunge la Saku kaunti ya Marsabit, baadhi ya wazee wanachama wa kamati ya usalama waliwapongeza wakaazi jimboni kwa kuiitikia[Read More…]

Read More

WAFUGAJI KATIKA KAUNTI YA MARSABIT WAHIMIZWA KUHAMIA KATIKA MAENEO SALAMA KABLA YA MVUA INAYOTARAJIWA KUNYESHA.

Wafugaji katika kaunti ya Marsabit wamehimizwa kuhamia mahali salama wakati huu ambapo mvua inatarajiwa kunyesha katika sehemu mbali katika kaunti ya Marsabit. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya simu mkurungezi wa mipango katika shirika la Pastrolist People Initiative (PPI) Stephen Baselle amesema kuwa wafugaji wasipojipanga mapema na kuhamia mahali[Read More…]

Read More

MABADILIKO YA TABIA NCHI HUATHIRI PAKUBWA KINAMAMA WANAOISHI MASHINANI NA KUWAFANYA WENGINE KUYAHAMA MAKAZI YAO ILI KUTAFATA AJIRA MJINI

Mabadiliko ya tabia nchi huathiri pakubwa kinamama wanaoishi mashinani na kuwafanya wengine kuyahama makazi yao ili kutafata ajira mjini. Haya ni kwa mujibu wa Mkurugenzi wa shirikia la Wong`an Women Initiative Teresalba Leparsanti Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya simu, Teresalba amesema kuwa kinamama wanaoishi mashinani huwa wanaathirika pakuwa[Read More…]

Read More

WAZAZI KAUNTI YA MARSABIT WAHIMIZWA KUJUKUMIKA ZAIDI NA KUWATUNZA WATOTO WAO DHIDI YA MAOVU KATIKA KIPINDI CHA LIKIZO.

Wazazi katika kaunti ya Marsabit wamehimizwa kujukumika zaidi na kuwatunza watoto wao dhidi ya maovu yanayoweza kujiri kipindi cha likizo. Kwa mjibu ya mwenyekiti wa chama cha wazazi katika kaunti ya Marsabit, Ali Nur ambaye amezungumza na idhaa hii kwa njia ya simu, amewataka wazazi kuhakikisha kwamba wanafuatilia mienendo ya[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter