IDARA YA KILIMO LAISAMIS YATAKIWA KUELIMISHA WAFUGAJI KUHUSU UKULIMA BADALA YA KUTEGEMEA UFUGAJI PEKEE.
November 20, 2024
County updates, notifications, news from the Marsabit County
Wazazi washauriwa kuasi miendendo ambayo inasababisha wao kutelekeza majukumu ya kuwalea wanawao. Kwa mujibu wa mchungaji wa kanisa la PEFA hapa jimboni Marsabit Daudi Wako ni kuwa wazazi wanafaa kuhakikisha kuwa wanawao wanapokea malezi bora wakati huu wa likizo. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya kipekee,Wako ameelezea kuwa ni[Read More…]
Chifu wa eneo la Laisamis Agostino Supeer ametoa onyo kali kwa wazazi wanaopania kuwakeketa au kuwaoza watoto wao wakati wa likizo akisema kuwa watakaopatikana wakiendeleza uovu huo watachukuliwa hatua kali za kisheria. Akizungumza na Radio Jangwani kwa njia ya simu,chifu Agostino ameweka wazi kuwa baadhi ya wazazi hutumia kipindi cha[Read More…]
Wito wa amani umeendelea kutolewa kwa wakaazi jimboni Marsabit. Wakizungumza hapo jana wakati wa sherehe ya siku kuu ya Mashujaa iliyoandaliwa katika eneo la Kubi Dibayu wadi ya Sagante Jaldesa eneo bunge la Saku kaunti ya Marsabit, baadhi ya wazee wanachama wa kamati ya usalama waliwapongeza wakaazi jimboni kwa kuiitikia[Read More…]
Wafugaji katika kaunti ya Marsabit wamehimizwa kuhamia mahali salama wakati huu ambapo mvua inatarajiwa kunyesha katika sehemu mbali katika kaunti ya Marsabit. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya simu mkurungezi wa mipango katika shirika la Pastrolist People Initiative (PPI) Stephen Baselle amesema kuwa wafugaji wasipojipanga mapema na kuhamia mahali[Read More…]
Mabadiliko ya tabia nchi huathiri pakubwa kinamama wanaoishi mashinani na kuwafanya wengine kuyahama makazi yao ili kutafata ajira mjini. Haya ni kwa mujibu wa Mkurugenzi wa shirikia la Wong`an Women Initiative Teresalba Leparsanti Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya simu, Teresalba amesema kuwa kinamama wanaoishi mashinani huwa wanaathirika pakuwa[Read More…]
Idadi kubwa ya watahiniwa huria maarufu Private Candidates katika kaunti ya Marsabit kwenye mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne KCSE mwaka huu imechangiwa na matokea bora ya watahiwa huria 48 waliokalia mtihani huo mwaka jana. Kwa mujibu wa washikadau katika idara ya elimu kaunti ya Marsabit ni kuwa watahiniwa[Read More…]
Wazazi katika kaunti ya Marsabit wamehimizwa kujukumika zaidi na kuwatunza watoto wao dhidi ya maovu yanayoweza kujiri kipindi cha likizo. Kwa mjibu ya mwenyekiti wa chama cha wazazi katika kaunti ya Marsabit, Ali Nur ambaye amezungumza na idhaa hii kwa njia ya simu, amewataka wazazi kuhakikisha kwamba wanafuatilia mienendo ya[Read More…]
Mikakati yote ya kuhakikisha kwamba mitihani ya kitaifa ya gredi ya sita KPSEA na ule wa kidato cha nne KCSE inayotajariwa kuanza jumaanne wiki ijayo katika kaunti ya Marsabit imekamilika. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa elimu katika kaunti ya Marsabit Peter Magiri ni kuwa ni jumla ya watahiniwa 8,383 wa[Read More…]
Wazazi katika kaunti ya Marsabit wahimizwa kuwajibika kwa kuchunga wanao katika kipindi cha likizo ndefu ya mwezi Disemba. Huku wanafunzi wakitarajiwa kuelekea likizo ndefu ya mwezi disemba, wazazi katika kaunti ya Marsabit wamehimizwa kuwajibika kwa kuchunga wanao kipindi hicho cha likizo. Ushauri huo umetolewa naye mkurugenzi mkuu wa shirika la[Read More…]
Huku seneti ikizidi kusikiliza kesi dhidi ya kuondolewa kwa naibu rais rigathi Gachagua, baadhi ya wakaazi wa kaunti ya Marsabit wameelezea maoni yao kinzani kuhusu hatma ya Gachagua. Baadhi wameunga mkono kuondolewa kwake huku wengine wakipinga mpango huo wakidai kuwa Gachagua hana hatia bali anawindwa kisiasa. Baadhi ya wanaopinga mchakato[Read More…]