Local Bulletins

regional updates and news

Tamasha la muziki ya watoto wa PMC laanza Marsabit

Mashindano ya Muziki ya Watoto wa PMC yameanza rasmi leo katika Kanisa Katoliki la Marsabit. Akizungumza na idhaa hii, Andrew Abdub ambaye ni mwenyekiti wa parokia, amesema kuwa vigango vinne vitashiriki katika tamasha hilo. Alisisitiza kwamba lengo la mashindano ya leo ni kutafuta washiriki watakaowakilisha dayosisi ya Marsabit katika tamasha[Read More…]

Read More

WAZAZI MARSABIT WATAKIWA KUASI MILA YA KUCHANJA WATOTO WANAOCHELEWA KUTEMBEA

Baadhi a desturi ambayo wazazi wanatumia kuwatibu watoto waliochelewa kutembea imetajwa kuathiri watoto wengi na hata kuwaletea shida za kimwili. Kulingana na Waqo Huqa ambaye ni daktari anayeshughulikia ulemavu watoto amesema wazazi wengi hutumia njia ya kitamaduni ambazo zinaathiri maisha ya watoto  na hata kuwasababishia ulemavu. Huqa akizungumzia mila hizo,[Read More…]

Read More

WANADADA WAONYWA DHIDI YA KUTUMIA DAWA ZA KUNENEPESHA KWANI HUCHANGIA UGONJWA WA KISUKARI

Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya ugonjwa wa kisukari siku ya Alhamisi wanadada katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kujiepusha na matumizi ya dawa za kunenepesha mili ikitajwa kuchangia ugonjwa huo. Akizungumza na shajara ya radio Jangwani afisini mwake afisa anayesimamia ugonjwa usiokuwa wa kuambukiza Sororo Abudho amedokezo kuwa dawa hizo zina chembechembe[Read More…]

Read More

Aliyekuwa meneja wa Tume ya Haki na Amani (CJPC) katika shirika la Caritas Marsabit Gabriel Gambare azikwa katika eneo la Hula Hula.

Risala za rambi rambi zilisheheni katika misa ya wafu iliyofanyika katika kanisa katoliki ya Maria Consolata (Cathedral) hapa jimboni Marsabit kwa ajili ya kuombea mwendazake Gabriel Gambare aliyekuwa meneja wa Tume ya Haki na Amani (CJPC) katika shirika la Caritas Marsabit. Gambare ametajwa kama mtu aliyejijali na kuwasaidia wasiojiweza katika jamii, na alikuwa[Read More…]

Read More

UTABIRI YA HALI YA HEWA

IDARA ya utabiri wa hali ya hewa kaunti ya Marsabit imesema kuwa rasha rasha za mvua wakati wa asubuhi, mchana na hata usiku zinatarajiwa katika sehemu kadhaa za jimbo la Marsabit kuanzia leo November 12 – 18th mwaka huu. Wakati huo imetabiri kuwa mvua kubwa huenda zikapokelewa katika baadhi ya sehemu[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter