Idadi chache ya wanafunzi waripoti shuleni wiki ya kwanza ya muhula huu…
January 10, 2025
regional updates and news
Na Samuel Kosgei, Mbunge wa Laisamis Joseph Lekuton amepongeza serikali ya kitaifa kwa kuchukua hatua ya haraka na kutuma askari wa kitengo kurejesha amani kwa kasi (RDU) katika lokesheni ya Kambinye eneobunge la Laisamis. Akizungumza alipowatambulisha askari hao katika Manyatta hiyo ya Kambinye, Lekuton amesema ujio wa askari hao wa[Read More…]
By Radio Jangwani President William Ruto has asked the Kenya Revenue Authority (KRA) to change approach in tax collection. The President asked KRA to maximise tax collection while reducing the compliance burden on taxpayers by becoming a customer-centric entity. “A huge obstacle to the realisation of our national revenue targets[Read More…]
Na Machuki Dennson Rais William Ruto amewaapisha mawaziri wake 22 hii leo katika ikulu yake ya Nairobi. Zoezi hilo limeongozwa na mkuu wa utumishi wa Umma Felix Kosgei mbele ya rais. Rais amewaapisha mawaziri hao baada ya mkutano na wajumbe wa mrengo wa Kenya Kwanza katika ikulu hiyo. Hiyo jana[Read More…]
Na Machuki Dennson Rais William Ruto amewafahamisha mawaziri wapya kuwa hawana budi ila kufaulu katika kazi zao kama mawaziri. Rais amesema kuwa yuko tayari kufanya nao kazi kuhakikisha wanafaulu katika utendakazi kwa wakenya bila ya kufeli. Amesema atawapa msaada wowote wanaohitaji ili kuwahudumia wakenya kama ilivyo katika katiba ya Kenya.[Read More…]
Na Machuki Dennson Rais William Ruto amempongeza Kinyua kwa utendakazi wake katika afisi yake. Rais amesema kuwa Kinyua amehakikisha kumekuwa na mpito salama na mzuri kama inavyofaa katika taifa lenye uchaguzi wa demokrasia. Felix Kosgei amekjula kiapo na kuanza kuhudumu mara moja kama mkuu wa utumishi wa umma katika ikulu[Read More…]
By Machuki Dennson The National Assembly Committee on Appointments on Tuesday unanimously rejected the appointment of Tourism Cabinet Secretary nominee Peninah Malonza. According to the Committee’s vetting report tabled by Majority Leader Kimani Ichung’wa before Parliament on Tuesday afternoo, Malonza was the only CS rejected by the 17-member committee. The[Read More…]
By Machuki Dennson Rishi Sunak will be the UK’s next prime minister after Penny Mordaunt dropped out of the Tory leadership race in the final minutes before nominations closed. Moudaunt could not garner 100 nominations by the Conservative party members as of the deadline time 2pm UK’s time to enable[Read More…]
Dr. Patrick Amoth Ag Director General Ministry of Health All the counties across the country have been put on high alert following a cholera outbreak in six counties in Kenya. According to acting Director General for health Dr Patrick Amoth, the outbreak whose origin can be traced to a wedding[Read More…]
By Radio Jangwani The High Court has today postponed the delivery of judgement in an appeal filed by the Garissa University terrorist attack convicts. In a Notice published on the Judiciary website, the Judiciary stated that the Lady Justice Githua had been transferred and all pending judgements before her will[Read More…]
By Machuki Dennson The new Director of criminal Investigations Mr Amin Mohammed Ibrahim, was on Wednesday morning sworn into office at the Supreme Court of Kenya. The swearing in of the new DCI Chief was witnessed by the Chief Justice and President of the Supreme Court, Hon Lady[Read More…]