NDOTTO WARRIORS WATWA UBINGWAWA TAJI LA AHMED KURA TOURNAMENT MWAKA 2024…
December 18, 2024
regional updates and news
Uchaguzi wa mashinani wa chama cha ODM umeanza rasmi leo katika kaunti ya Marsabit.Kwa mujibu wa mwenyekitiwa chama hicho tawi la Marsabit Ali Noor, ni kwamba uchanguzi huo umeng`oa nanga katika maeneo bunge yote manee ya kaunti ya Marsabit. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya simu, Noor amesema uchaguzi[Read More…]
Wito umetolewa kwa viongozi wa kisiasa kuasi kampeni za mapema na badala yake kuwajibikia manifesto ambazo waliahidi Wakenya wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu uliopita. Kwa mujibu wa mchungaji wa kanisa la PEFA hapa jimboni Marsabit Daudi Wako ni kuwa wanasiasa wanafaa kuasi kampeni za maapema ambazo zinaweza leta joto[Read More…]
Siku chache tu baada ya kiongozi wa wahuduma wa afya wa kujitolea kutoka mjini Marsabit Rashid Abdi kulalamikia kile alikitaja kuwa baadhi yao viongozi katika idara ya afya wanawaidai hongo ili kuwaruhusu kuhudhuria mafunzo mbalimbali,sasa kiongozi huyo ametaja kuwa ametishiwa kufutwa kazi kutokana na kauli yake. Akizungumza na Shajara ya Radio[Read More…]
Jamii ya Marsabit imetakiwa kuasi mbinu za kukata miti na kuchoma makaa ili kuzuia uharibifu zaidi wa mazingira. Kwa mujibu wa mshirikikishi wa maswala ya kawi katika kaunti ya Marsabit Joseph Agola ni kuwa jamii inafaa kuwa makini na matumizi ya makaa na kuni ili kuzuia uharibifu zaidi wa mazingira[Read More…]
Wanafunzi 126 waliosomea vyuo vya kiufundi jimboni Marsabit wameweza kuhitimu hii leo katika hafla ya kwanza iliyoandaliwa katika chuo cha kiufundi cha Saku, eneobunge la Saku, kaunti ya Marsabit leo Jumanne. Akizungumza katika hafla hiyo, mke wa gavana wa Marsabit Alamitu Guyo amewataka mahafala hao kuweza kutumia ujuzi na ubunifu[Read More…]
SIKU moja baada ya kuibuka ripoti kuwa tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) haitalazimishwa kupeperusha moja kwa moja matokeo ya uchaguzi wa urais yanapotangazwa na Maafisa Wasimamizi katika vituo vya kupigia kura wakaazi katika kaunti ya marsabit wametoa hisia zao kuhusiana na swala hilo. Baadhi ya waliozungumza na shajara ya[Read More…]
Serikali ya kaunti ya Isiolo itatumia shilingi milioni 5 katika ujenzi wa makao salama RESCUE CENTRE kwa waathiriwa wa dhulma za kijinsia kwa ushirikiano na mamalka ya ujenzi wa barabara kuu nchini KENHA. Haya yaliwekwa wazi na Nura Diba ambaye ni afisa wa masuala ya kijinsia katika kaunti ya isiolo[Read More…]
Na Caroline Waforo Huku kaunti ya Marsabit ikijiunga na ulimwengu kuadhimisha kampeni ya siku 16 za utoaji uhamasisho na kukomesha dhuluma dhidi ya wanawake wasichana jimboni Marsabit wametakiwa kukumbatia elimu kama moja wapo ya njia za kupambana na dhulma hizi. Haya ni kulingana na mwakilishi wadi mteule katika bunge la[Read More…]
Utafiti uliofanywa kuhusu ugonjwa wa maziwa (brucellosis) kati ya mwaka 2013 hadi sasa, na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Washington nchini Marekani katika kaunti ndogo ya Laisamis, umebaini kwamba ugonjwa huu upo kwa kiwango cha juu miongoni mwa wanyama na binadamu. Akizungumza na radio Jangwani kwa njia ya simu, Mkurugenzi[Read More…]
Ukosefu wa usalama kati ya wavuvi kutoka upande wa Marsabit na wale kutoka upande wa kaunti ya Turkana ni suala lililopewa kipaumbele kwenye maadhimisho ya siku ya uvuvi ulimwenguni wiki jana. Afisa kutoka idara ya uvuvi kaunti ya Marsabit Hussein Hassan ambaye alihudhuria mkutano huo uliofanyika katika kaunti ya Turkana[Read More…]