Local Bulletins

regional updates and news

Mikakati yote imekamilika kuhakikisha wanafunzi wa Grade 9 wanaendelea na masomo – Asema mkurugenzi wa elimu Marsabit Peter Magiri.

Wazazi walio na wanafunzi wanaojiunga na gredi ya tisa katika kaunti ya Marsabit wametakaiwa kutohifia chochote kwani mikakati ya kuhakikisha kwamba wanafunzi hao wanaendelea na elimu yao ipasavyo imewekwa. Akizungumza na Shajara Ya Radio Jangwani ofisi mwake mkurugenzi wa elimu katika kaunti ya Marsabit Peter Magiri amesema kuwa serekali imehakikisha[Read More…]

Read More

Naibu gavana wa Isiolo James Lowassa aelezea hofu kuhusu chanjo ya mifugo inayolenga mifugo mwakani.

Naibu gavana wa Isiolo James Lowassa aelezea hofu kuhusu chanjo ya mifugo inayolenga mifugo mwakani. Huku mjadala kuhusu utata wa chanjo kwa mifugo ukiendelea humu nchini, naibu gavana wa kaunti ya Isiolo James Lowassa ameelezea wasiwasi wake kuhusu chanjo hiyo akidai kuwa jamii ya wafugaji haijahamasishwa vyema wala kuhusishwa. Lowassa[Read More…]

Read More

Wakaazi wa Marsabit watoa hisia kinzani kuhusiana na utafiti uliomuorodhesha gavana Mohamed Ali kati ya magavana 10 ambao hawajafanya maendeleo.

Wakaazi wa Marsabit watoa hisia kinzani kuhusiana na utafiti uliomuorodhesha gavana Mohamed Ali kati ya magavana 10 ambao hawajafanya maendeleo. Baadhi ya wakaazi katika kaunti ya Marsabit wameutaja utafiti wa hivi maajuzi uliomuorodhesha gavana wa kaunti ya Marsabit Mohamed Muhamud Ali katika orodha ya magavana kumi ambao hawajafanya maendeleo hapa[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter