Local Bulletins

regional updates and news

MSEMAJI WA SEREKALI YA KAUNTI YAMARSABIT ABDUB ABARILLE AWAKOSOA SENETA CHUTE, MBUNGE RASSO NA WANAHABARI WA MARSABIT

Na Isaac Waihenya, Serekali ya kaunti ya Marsabit imekanusha madai kuwa ilihusika katika kukamatwa kwa Seneta wa kaunti ya Marsabit Mohamed Chute na tume ya kupambana na ufisadi nchini EACC. Kwa mujibu wa msemaji wa serekali ya kaunti ya Marsabit Abdub Barille ni kuwa serekali ya kaunti haukuhusika kwa vyovyote[Read More…]

Read More

WAKAAZI WA MARSABIT WATAHADHARISHWA DHIDI YA KUTUMA MAOMBI YA ID ZAIDI YA MARA MOJA.

Na Caroline Waforo Wakaazi kaunti ya Marsabit wametahadharishwa dhidi ya kutuma maombi ya kupata vitambulisho zaidi ya moja. Akizungumza na Shajara afisini mwake afisa wa usajili jimboni Marsabit Michael Oduor amesema kuwa hili litahitilafiana na shughuli za kuchapisha vitambulisho. Hii ni kutokana na malalamishi ya kucheleweshwa kwa vitambulisho kutoka kwa[Read More…]

Read More

WANAHABARI MARSABIT WAKEMEA MASHAMBULIZI YA MAAFISA WA POLISI DHIDI YA WAANDISHI WA HABARI

Na Samuel Kosgei Muungano wa waandishi wa habari kaunti ya Marsabit wamejiunga na wenzao kote nchini kushutumu dhulma na mashambulizi ya polisi dhidi ya waandishi wa habari wanaopeperusha taarifa. Mwenyekiti wa muungano huo wa wanahabari Michael Kwena akizungumza na meza yetu ya habari amesema kuwa wanahabari wa hapa Marsabit wanasimama[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter