Local Bulletins

regional updates and news

WAZAZI KAUNTI YA MARSABIT WATAKIWA KUTOWAFICHA WATOTO WANAOISHI NA ULEMAVU NA BADALA YAKE KUWAPELEKA SHULE ILI WAPATE ELIMU.

Wazazi katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kutowaficha watoto wanaoishi na ulemavu na badala yake kuwapeleka shule ili wapate elimu. Kwa mujibu wa mshiriki wa baraza la watu wanaoishi na ulemavu (NCPWD) kaunti ya Marsabit Ahmed Abdi,ni kuwa watoto wanaoishi na ulemavu wanafaa kupewa haki sawa na wale wengine. Akizungumza na[Read More…]

Read More

MARSABIT IMEELEKEA KIKAMILIFU KWA AJILI YA KIPINDI CHA UKAME – ASEMA WAZIRI WA KILIMO HUSSEIN ALI FUNDI.

Kaunti ya Marsabit imejiandaa kikamilifu ili kuhakikisha kwamba wananchi hawaadhiri zaidi katika kipindi cha ukame kame ilivyo shuhudiwa miaka ya nyuma. Haya ni kwa mujibu wa waziri wa kilimo katika kaunti ya Marsabit Hussein Ali Fundi. Akizungumza na waandishi wa habari hapa mjini Marsabit, waziri Fundi ametaja kwamba kwa sasa[Read More…]

Read More

MRADI WA KUKABILIA NA UKAME KATIKA MAENEO YA KASKAZINI MWA NCHINI (DROUGHT RESILIENCE PROGRAMME IN NORTHERN KENYA) KUZINDULIWA KESHO KATIKA ENEO LA SOLOLO KAUNTI YA MARSABIT.

Huku baadhi ya wakaazi jimboni Marsabit wakilalama ukosefu wa chakula, serikali inatarajiwa kuzindua mradi wa kukabiliana na ukame katika maeneo ya kaskazini mwa nchini yaani Drought Resilience Programme in Northern Kenya, hapo kesho katika kaunti ndogo ya Sololo kaunti ya Marsabit. Kulingana na mratibu wa mradi huo Daniel Odero aliyezungumza na shajara[Read More…]

Read More

Utumizi wa dawa za kupambana na bakteria mwilini (Antibiotics) ambazo hazijaidhinishwa na mtaalamu wa afya unaweza kusababisha kifo.

Utumizi wa dawa za kupambana na bakteria mwilini (Antibiotics) ambazo hazijaidhinishwa na mtaalamu wa afya unaweza kusababisha kifo. Kwa mujibu wa mwanafamasia katika katika hospitali ya rufaa ya Marsabitt Adan Ibro ni kuwa wakaazi wengi katika kaunti ya Marsabit wanamazoea ya kunua dawa wanapohisi maumivu mwilini jambo ambalo amesema kuwa linahatarisha[Read More…]

Read More

WAKAAZI WA MARSABIT WAHAKIKISHIWA KUWA BIMA YA AFYA YA SHIF INATUMIKA.

Wakaazi  wa Marsabit wamehakikishiwa kuwa bima ya afya ya SHIF inafanya kazi ipasvyo. Akizungumza na idhaa hii alipokuwa akizuru hospitali ya rufaa ya Marsabit maneja wa mamlaka hiyo ya afya ya jamii (SHA) Lawrence Mutuma amewahakikishia wakaazi kuwa wagonjwa wa figo wanapata hudumu ipaswavyo kando na changamoto ya kujisajili na[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter