Local Bulletins

regional updates and news

LOGLOGO RESCUE CENTER KUFUNGULIWA JANUARI MWAKA UJAO WA 2025.

Kituo cha kuwalinda na kuwahifadhi waadhiriwa wa dhulma za kijinsia katika eneo la Loglogo (Loglogo Rescue Center) kaunti ya Marsabit kitafunguliwa januari mwaka ujao wa 2025. Haya ni kwa mujibu wa afisa wa jinsia katika kaunti ya Marsabit Joshua Akeno Leitoro. Akizungumza na Radio Jangwani baada ya kukamilika kwa warsha[Read More…]

Read More

WAFANYAKAZI VIBARUA MARSABIT WAISHITAKI SERIKALI KWA KUWATIMUA KAZINI KABLA YA KANDARASI KUTAMATIKA 2025.

Waliokuwa wafanyikazi wa vibarua katika serikali ya kaunti ya Marsabit wamewasilisha kesi mahakamani kupinga kukatizwa kwa mkataba wao wa  kazi. Walalamishi hao wanaojumuisha walinzi walioajiriwa kati ya mwaka 2014-2021 wanashutumu serikali ya kaunti ya Marsabit kwa kwenda kinyume na makubaliano na mkataba. Katika kesi hiyo iliyowasilishwa katika mahakama ya marsabit[Read More…]

Read More

MVUA CHACHE KUSHUHUDIWA MARSABIT WIKI HII – MET

  |Idara Ya utabiri wa hali ya hewa ya kaunti ya Marsabit imesema kuwa Mvua za asubuhi pamoja na mvua za alasiri na hata usiku zinatarajiwa katika maeneo machache ya Kaunti katika kipindi cha wiki moja kuanzia tarehe 5 Jumanne hadi Jumatatu ijayo tarehe 11. Mkurugenzi wa idara ya hewa[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter