Mafuriko yawaacha familia 53 bila makazi Dumasho, Marsabit.
Na JB Nateleng Takriban familia 53 zimeathirika kutokana na mvua huku nyumba nyingi ambazo ni za muda zikisombwa na maji katika Kijiji…
Mtaala unaoelezea mbinu za kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi wazinduliwa leo Marsabit
Na JB Nateleng Mtaala unaolenga kutoa elimu kuhusu mbinu za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi…
Bunge la Marsabit laidhinisha bajeti ya ziada ya bilioni 11, afya ikipewa mgao mkubwa
Na Samuel Kosgei Bunge la Kaunti ya Marsabit limeidhinisha bajeti ya ziada ya shilingi bilioni…
Wito watolewa kwa vikundi maalum kujiandikisha kama wapigakura Marsabit
Na Sabalua Moses Huku zoezi la usajili wa wapigakura likiendelea katika Kaunti ya Marsabit, watu…
Familia za wahasiriwa wa shambulizi la Manyatta Ginda wadai haki
Na Caroline Waforo Familia za wahasiriwa wa shambulizi la hivi punde la wizi wa mifugo,…
IPOA kufungua afisi zake Marsabit huku visa 121 vya dhulma za polisi vikiripotiwa hadi kufikia sasa
Na Caroline Waforo Jumla ya visa 121 vya ukiukaji wa haki za binadamu vinavyohusisha maafisa…
Papa Leo XIV akubali Kujiuzulu kwa Askofu Paul Kariuki Njiru wa Jimbo la Wote
Na JB Nateleng Papa Leo XIV amekubali rasmi kujiuzulu kwa Askofu Paul Kariuki Njiru, aliyekuwa…
Wakazi wa Marsabit Wahimizwa kutembelea vituo vya afya ili kupimwa kifua kikuu (TB)
Na JB Nateleng Wakazi wa Marsabit wamehimizwa kutembelea vituo vya afya vilivyo karibu nao mara…
Viongozi wa dini Marsabit walaani mauaji ya wizi wa mifugo, wataka Amani.
Na Samuel Kosgei VIONGOZI wa kidini mjini Marsabit wameendelea kulaani tukio la hivi karibuni ambapo…
Mvua na ngurumo kutarajiwa Marsabit, upepo mkali kuathiri baadhi ya maeneo
Na Samuel Kosgei Utabiri wa hali ya hewa wa siku saba kuanzia tarehe 24 hadi…
Wakazi wa Marsabit Watakiwa kupnda miti na Kulinda Misitu Wakati huu wa Mvua
Na JB Nateleng Wakazi wa Marsabit wamehimizwa kuchukua jukumu la kulinda na kutunza misitu, hasa…
Mwanaume mmoja ahukumiwa kifungo cha maisha gereza kwa kumlawiti mvulana wa miaka 6, Marsabit Central
Mahakama ya Marsabit imemhukumu mwanaume mmoja kifungo cha maisha gerezani kwa kupatikana na hatia ya…