Author: Editor

Wakaazi wa kaunti ya Marsabit wametoa maoni mbalimbali kuhusiana na mswada wa kifedha na bajeti ya mwaka wa 2024/2025  ambayo makadirio yake yamewasilishwa hii leo na waziri wa fedha Njuguna Ndugu

NA LELO Baadhi ya wananchi waliozungumza na idhaa hii wakiongozwa na Steven Roba wameonekana kuunga mkono mapendekezo ya bajeti hiyo wakisema kuwa yametilia  maanani suala la mfumuko wa bei huku wakitarajia kuimarika kwa uchumi kutokana na hayo. Kwa upande mwingine, baadhi ya wakaazi wamelalamika wakidai kuwa serikali itawadhulumu kupitia mswada[Read More…]

Read More

AFISA MKUU ANAYESIMAMIA MASUALA YA MISITU KATIKA KAUNTI YA MARSABIT KADIRO OCHE AMETOA ONYO KWA WALE WANAOCHUNGA MIFUGO YAO NDANI YA MISITU YA MARSABIT.

NA TALASO HUQA Akizungumza nasi afisini mwake Kadiro amesema kuwa ulishaji wa mifugo katika msitu huo mara nyingi huchangia uhalifu na wizi wa mifugo akisema kuwa wafugaji wanaruhusiwa kupeleka mifugo kunywa maji pekee  na pia kulisha mifugo hao wakati ambapo kuna kiangazi. Aidha Kadiro amewahimiza wakaazi wa Marsabit kuzidi kupanda[Read More…]

Read More

WANAOTEGEMEA DHAHABU WAOMBWA KUVUMILIA HADI MARUFUKU ILIYOWEKWA NA SERIKALI ITAKAPOKAMILIKA.

Na Samuel Kosgei NAIBU kamishna wa kaunti ndogo ya Moyale Benedict Munywoki amekariri umuhimu wananchi wa eneo la Dabel kunakochimbwa dhahabu kuzidi kuvumilia hadi marufuku iliyowekwa na serikali itakapokamilika. Munywoki akizungumza na kituo hiki kwa njia ya simu amesema kuwa iwapo wananchi wataepuka kufika eneo la mgodi wa dhahabu basi[Read More…]

Read More

ASILIMIA 36 YA MGAO WA YA MARSABIT KUENDEA MAENDELEO HUKU ASILIMIA 64 IKIENDEA MATUMIZI YA KILA MWEZI IKIWEMO MISHAHARA YA WAFANYAKAZI.

Na Samuel Kosgei KAMATI ya fedha na mipango katika bunge la kaunti ya Marsabit imeitaka wananchi wa Marsabit kuhudhuria na vikao vya kudhibitisha miradi waliopendekeza kwenye mikutano ya hapo awali. Mwenyekiti wa kamati hiyo ya fedha Daud Tomasot akizungumza na kituo amesema kuwa ni vyema wananchi kuhudhuria vikao hivyo ili[Read More…]

Read More

VIONGOZI WA VIJANA KATIKA LOKESHENI YA NAGAYO ENEOBUNGE LA SAKU, KAUNTI YA MARSABIT WATAKA VIONGOZI KUANGAZIA MASWALA UKOSEFU WA AJIRA.

Na Johnbosco Nateleng   Kiongozi wa vijana katika lokesheni ya Nagayo eneo bunge la Saku, kaunti ya Marsabit Hussein Liban Boru ametaka viongozi kuangazia maswala ya kuwainua vijana katika eneo hilo kwani vijana wengi hawana kazi. Boru amesema kuwa kwa manufaa ya vizazi vijavyo ni sharti viongozi wajitolee na kuwahamazisha[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter