Author: Editor

NCCK TAWI LA MARSABIT YAWARAI WANANCHI KUDUMISHA AMANI NA UPENDO

Baraza la makanisa nchini NCCK tawi la Marsabit limetoa wito kwa Wakenya kudumisha Amani na upendo. Kwenye arafa iliyotumwa kwa vyombo vya habari na kusomwa na mwenyekiti wa kanisa la PCEA mjini Marsabit Elijah Kamitha, NCCK imetoa wito kwa wananchi kukumbatia Amani sawa na maelewano ili kueneza upendo katika jamii. Baraza hilo[Read More…]

Read More

WAZAZI WAMETAKIWA KUWALINDA WANAO MSIMU HUU WA MVUA ZA VULI

Baadhi ya Machifu kaunti ya Marsabit, wamewataka wazazi kuwa makini na watoto wao. Katika wito wao, machifu wameeleza umuhimu wa kuhakikisha usalama wa watoto, hususan wakati huu wa mvua. Wamesisitiza kwamba wazazi wasiwaruhusu watoto kuchunga mifugo katika maeneo hatari, kwani hali ya mvua inaweza kuleta mafuriko na hatari nyingine. Aidha,[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter