Author: Editor

wakaazi jimboni Marsabit wametakiwa kusuluhisha mizozo ya kinyumbani kwa amani badala ya kuchukua sheria mikononi mwao

Na Caroline Waforo Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya wapendanao dunia visa vya mauaji dhidi ya wanawake bado vinaendelea kushuhudiwa humu nchini. Nyingi ya visa hivi vikiripotiwa kutekelezwa na watu walio kwenye mahusiano ya kimapenzi na wahasiriwa. Kutokana na hayo wakaazi jimboni Marsabit na wananchi kwa ujumla wametakiwa kusuluhisha mizozo ya[Read More…]

Read More

Wafungwa gereza la Marsabit wapokezwa zawadi ya valentine.

Na Carol Waforo Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya wapendanao duniani maarufu Valentine’s Day wananchi katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kuwaonyesha upendo wafungwa na kukomesha unyanyapaa dhidi yao wanapokamilisha kifungo chao. Ni wito ambao umetolewa na daktari wa afya ya akili katika hospitali ya rufaa ya Marsabit Dr Victor Karani wakati[Read More…]

Read More

Idara ya usajili wa watu imezindua huduma mpya ya kusaka kitambulisho katika ofisi ya Huduma Centre Marsabit.

 Na Samuel Kosgei Serikali kupitia idara ya usajili wa watu kaunti ya Marsabit imezindua huduma mpya ya kuandikisha wanaosaka kitambulisho katika ofisi kuu ya Huduma Centre mjini Marsabit. Kulingana na msajili mkuu katika ofisi ya kitambulisho kaunti ya Marsabit Isaac Kibet ni kuwa huduma hiyo mpya itasaidia kurahisisha kupatikana kwa[Read More…]

Read More

Wanahabari Marsabit wahimizwa kutumia lugha za asilia kuelimisha jamii kuhusu mabadiliko ya tabia nchi.

Na Caroline Waforo Huku taifa likiadhimisha siku ya Redio ulimwengu leo Alhamisi chini ya kauli mbiu Redio na mabadiliko ya Tabianchi wanahabari katika kaunti ya Marsabit na kote nchini wametakiwa kutumia redio katika kuelimisha jamii jinsi ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Akizungumza na shajara ya Radio Jangwani kwa njia ya simu[Read More…]

Read More

Ulimwengu yaadhimisha siku ya kimataifa ya Radio mada kuu ikiwa nafasi yake kukabili mabadiliko ya Tabianchi

Huku dunia ikiadhimisha siku ya kimataifa ya radio wakaazi wa Marsabit wametaja radio kuwa chombo chenye manufaa kwao kwani wanaitumia kupata habari burudani na elimu. Wakizungumza nasi Wengi wao wametaja kupendezwa na mijadala kwenye radio inayowapa nafasi ya kuchangia na hivyo basi kupata nafasi ya mchango katika kulainisha jamii na[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter