Author: Editor

Mtu mmoja afariki kutokana na ugonjwa wa Kalazaar Marsabit, sita wakipokea matibabu kulingana na serikali ya kaunti.

Na Samuel Kosgei Mtu mmoja ameripotiwa kuaga dunia kufikia sasa kutokana na ugonjwa wa Kalaazar ambao umetajwa kuwa kero katika maeneo ya Loglogo na Laisamis. Msemaji wa serikali ya kaunti ya Marsabit Abdub Barile akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa amesema kuwa mwanamke mmoja kutoka eneobunge la Laisamis alifariki[Read More…]

Read More

Wakaazi wa maeneo ya Kambinye na Korr waishukuru ofisi ya katibu wa maeneo kame na maendeleo ya miji Kello Harsama kwa kuwapa msaada wa chakula…

NA ISAAC WAIHENYA Wakaazi wa eneo la Kambinye wameishukuru irada ya maeneo kame inayoongozwa na katibu wa maeneo kame na maendeleo ya miji Kello Harsama kwa kila wamekitaja kwamba ni kuwajali katika kipindi hichi cha ukame. Wakizungumza na Shajara ya Radio Jangwani, wakaazi hao wametaja kwamba wamepokea chakula hiocho ambacho[Read More…]

Read More

Mwanafunzi wa shule ya msingi azirai na kufariki baadaye alipokuwa akielekea shuleni kaunti ya Marsabit.

 Na Henry Khoyan Mwanafunzi mmoja wa Shule ya Msingi ya Karare ameaga dunia ghafla leo Alhamisi alipokuwa akielekea shuleni na wenzake. Chifu wa eneo hilo, Magdalene Ilimo, amedhibitisha kuwa mtoto huyo mwenye umri wa miaka 14 alizirai ghafla walipokuwa barabarani kuelekea shuleni na wenzake. Wenzake walikimbia nyumbani kutoa ripoti ya[Read More…]

Read More

Kuboresha manispaa mpya ya Moyale ni lazima jamii zinazoishi huko  wadumishe Amani na maelewano – DG Solomon Gubo

NA JB NATELENG Ni afueni kwa wafanyibiashara wa Moyale baada ya serekali ya kaunti ya Marsabit kuzindua rasmi manispaa ya Moyale. Akizungumza wakati wa uzinduzi huu, waziri wa ardhi kaunti ya Marsabit Amina challa amesema kuwa wafanyibiashara wa Moyale watakuwa na uhuru wa kufanya biashara bila shida yoyote huku akiwataka[Read More…]

Read More

Shughuli ya kuwahesabu  wanyamapori kuanza mwezi ujao katika kaunti ya marsabit,Mandera na wajir

Msimamizi mkuu kwenye mbuga ya wanyama katika kaunti ya marsabit  Augustine Ajuoga amesema kuwa  shughuli ya kuwahesabu wanyama pori unaendelea  na shughuli  hiyo imekua ikifanyika tangu mwaka jana Vile vile amesema kuwa shughuli hiyo itaaanza  mwezi ujao katika kaunti ya marsabit,Mandera na wajir kwa minajili ya  kujua hali ya wanyama[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter