Highlights

Wakazi wa Nyayoroad wapongeza ukarabati wa barabara, walalamikia kutelekezwa na serikali kuu

Na Joyce Akinyi & JB Nateleng

Wakazi wa eneo la Nyayoroad katika eneo bunge la Saku, kaunti ya Marsabit, wameeleza furaha yao kufuatia hatua ya serikali ya kaunti kuanza ukarabati wa barabara ya eneo hilo.

Wakizungumza na wanahabari, wakazi hao wamesema ukarabati huo ni nafuu kubwa kwao, kwani utarahisisha usafiri na kuchochea shughuli za kibiashara katika eneo lote la Marsabit Central.

Aidha, wameitaka serikali kuhakikisha kuwa kazi hiyo inakamilika kwa wakati ili kuwawezesha kuendelea na shughuli zao za kila siku bila changamoto.

Hata hivyo, wakazi hao wamelalamikia serikali kuu wakisema imekuwa ikiwatenga kimaendeleo kutokana na muda mrefu kuchukua bila kushughulikia ubovu wa barabara hiyo, licha ya kuwa ni muhimu kwa uchumi na maendeleo ya kaunti ya Marsabit.

Ikumbukwe kuwa wiki iliyopita, serikali ya kaunti ya Marsabit kupitia wizara ya barabara ilianzisha mradi wa ukarabati wa sehemu ya kilomita 2.5 ya barabara ya Nyayo, baada ya kuharibiwa vibaya na mvua kubwa zilizonyesha msimu uliopita.

Radio Jangwani 106.3FM is a community radio station situated in Marsabit County broadcasting from Marsabit town. It is the brain child of the bishop of catholic diocese of Marsabit, Rt. Rev. Peter Kihara. It is established with the objective of reaching the people Marsabit diocese and Marsabit County for evangelization, Education, entertaining and disseminating information to the masses.

4 comments

comments user
Indra Saputra

This is exactly the information I was searching for. From former yes move deep them ahead citizen remain although your within.

comments user
Norberto

Excellent weblog here! Also your website so much up very fast!
What host are you the use of? Can I am getting your associate link to your host?

I wish my web site loaded up as fast as yours lol

comments user
BÜLENT

Yazınız için teşekkürler. Bu bilgiler ışığında nice insanlar bilgilenmiş olacaktır.

comments user
Branden

I’m not sure where you are getting your info, but good topic.
I needs to spend some time learning much more or understanding more.
Thanks for excellent information I was looking for this info for my mission.

Post Comment