Highlights

Wachuuzi wa miraa Marsabit Central waandamana kulalamikia kutelekezwa na serikali kuu

Na JB Nateleng

Wachuuzi wa miraa Marsabit Central, eneo bunge la Saku, kaunti ya Marsabit, wameandamana wakilalamikia kile walichodai kuwa kutengwa na serikali ya kaunti ya Marsabit katika programu za kuwawezesha vikundi vya kijamii.

Wakizungumza na wanahabari wachuuzi hao wameitaka serikali ya kaunti ya Marsabit chini ya uongozi wa Gavana Mohamud Ali kuzingatia malalamishi yao na kuhakikisha wanajumuishwa katika mipango yote ya maendeleo.

Radio Jangwani 106.3FM is a community radio station situated in Marsabit County broadcasting from Marsabit town. It is the brain child of the bishop of catholic diocese of Marsabit, Rt. Rev. Peter Kihara. It is established with the objective of reaching the people Marsabit diocese and Marsabit County for evangelization, Education, entertaining and disseminating information to the masses.

Post Comment