Featured Stories / News

WAFUGAJI WAHAMASISHWA KUHUSU ATHARI ZA MABADILIKO YA HALI YA HEWA.

  Jamii za kaunti ya Marsabit zimehamasishwa kuhusu jinsi ya kujipanga na kupunguza makali ya mabadiliko ya hali ya hewa. Mafunzo hayo kwa wafugaji yamefadhiliwa na shirika lisilokuwa la kiserikali la CRDD linaloshughulikia umuhimu wa rasilimali na changamoto wanazopitia jamii ya wafugaji. Akizungumza katika hafla hiyo, Rose Orguba ambaye ni[Read More…]

ULIMWENGU WAADHIMISHA SIKU YA WALEMAVU JANA,HUKU WITO WA KUWAPELEKA WATOTO WALEMAVU SHULENI UKISHEHENI…

Ulimwengu waadhimisha siku ya walemavu jana,huku wito wa kuwapeleka watoto walemavu shuleni ukisheheni… Wakaazi katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kuwapeleka wanao shuleni punde tu shule zitakapofunguliwa kwa muhula wa kwanza mwaka ujao wa 2025 Kwa mujibu wa mkurugenzi wa elimu katika kaunti ndogo ya Bubisa katika kaunti ya Marsabit Jillo[Read More…]

WAZAZI WAMETAKIWA KUWALINDA WANAO MSIMU HUU WA MVUA ZA VULI

Baadhi ya Machifu kaunti ya Marsabit, wamewataka wazazi kuwa makini na watoto wao. Katika wito wao, machifu wameeleza umuhimu wa kuhakikisha usalama wa watoto, hususan wakati huu wa mvua. Wamesisitiza kwamba wazazi wasiwaruhusu watoto kuchunga mifugo katika maeneo hatari, kwani hali ya mvua inaweza kuleta mafuriko na hatari nyingine. Aidha,[Read More…]

Subscribe to eNewsletter