Wazazi wa shule ya upili ya Sasura girls wamkataa mwalimu mkuu mpya aliyehamishiwa shuleni humo.
January 14, 2025
Wachezaji wa timu ya Moite kutokoka eneo la Moite, wadi ya Loiyangalani wamelalamikia kutelekezwa na waadaaji wa kombe la Rasso Cup ambalo liliandaliwa katika eneo Loiyangalani na kukamilika mnamo tarehe 7 mwezi huu wa Disemba. Kwa mujibu wa George Etir ambaye ni mmoja wa viongozi wa kikosi hicho amesema kuwa[Read More…]
About Us At our site, we aim to provide accurate and comprehensive information about various medical topics, ensuring our readers can make informed decisions about their health. Our team of experts is dedicated to delivering high-quality content on medications like Actos, along with other health-related topics. Editorial Understanding medications is[Read More…]
Mila Potovu zimetajwa kama sababu kuu zinazochangia visa vya dhulma za kijinsia hapa nchini. Kwa mujibu wa afisa wa jinsia katika serekali ya kaunti ya Marsabit Joshua Loitoro ni kuwa japo kuna mila nzuri ambazo zinafaa kuenziwa ila baadhi za mila hapa jimboni Marsabit zimekuwa zikirejesha nyuma hatua ambazo zimepigwa[Read More…]
Gavana wa Marsabit Mohamud Ali sasa anawataka maafisa wote wa usalama wanaolinda migodi ya dhahabu ya Hillo kule Dabel eneo bunge la Moyale kuondolewa mara moja. Gavana Ali amedai kuwa maafisa hao wanajinufaisha na biashara ya dhahabu licha ya serikali kutangaza kufungwa kwa migodi hiyo. Gavana Ali akizungumza kwenye maadhimisho[Read More…]
Wakaazi wa Marsabit watoa hisia kinzani kuhusiana na utafiti uliomuorodhesha gavana Mohamed Ali kati ya magavana 10 ambao hawajafanya maendeleo. Baadhi ya wakaazi katika kaunti ya Marsabit wameutaja utafiti wa hivi maajuzi uliomuorodhesha gavana wa kaunti ya Marsabit Mohamed Muhamud Ali katika orodha ya magavana kumi ambao hawajafanya maendeleo hapa[Read More…]
Serikali kuu inafanya kila jitihadi kuhakikisha kuwa wakimbizi wa ndani kwa ndani kaunti ya Marsabit wanapata msaada wa chakula na mahitaji ya msingi. Akizungumza katika hafla ya kuwapokeza familia 50 mabati 30 na kanisa la kianglikana, Naibu Kamishena wa Marsabit Central David Saruni amesema kuwa wakimbizi hapa Marsabit wanapitia changamoto[Read More…]
Idadi ya wagonjwa wa kifua kikuu TB na ambao pia wanaishi na virusi vya ukimwi iko chini humu jimboni Marsabit. Haya ni huku visa vya ugonjwa wa kifua kikuu vikiongezeka katika kaunti hii ya Marsabit. Haya ni kulingana na afisa anayesimamia magonjwa ya TB Sori Gone ambaye amezungumza na shajara ya[Read More…]
Huku siku 16 za uanaharakati kupinga vita vya dhulma za kijinsia haswa dhidi ya wanawake ikikamilika hii leo wanawake na wasichana kaunti ya Marsabit wamejitokeza kukashifu wanawake kunyanyaswa na wanaume. Wakizungumza na Shajara ya Radio Jangwani wakati wa matembezi mjini Marsabit, wanawake hao wamesema kuwa wanawake wengi wanapoteza maisha yao[Read More…]
Wakimbizi wa ndani kwa ndani katika kaunti ya Marsabit wanazidi kulilia serikali na wahisani kuwasaidia ili waweze kupata msaada wa chakula na mahitaji mengine ya kimsingi. Wakizungumza katika hafla ambapo familia 50 imepokezwa mabati 30 na kanisa la kianglikana ACK Marsabit ,Guyo Sora ambaye ni mmoja wa wakimbizi amesema kuwa[Read More…]
Watu watano wanadaiwa kufariki kutokana na maporomoko ya migodi ya Hilo eneo la Dabel Kaunti ndogo ya Moyale kaunti hii ya Marsabit Akithibitisha tukio hilo,chifu wa Dabel Ibrahim Dube amehoji kuwa watu watano wamethibitishwa kufariki na idadi ya watu isiojulikana ikiwa imefunikwa na Mchanga Katika migodi ya Hilo. Tukio hilo[Read More…]