Marsabit yatajwa kuwa miongoni mwa kaunti zinazokuwa kwa kasi kimaendeleo.
January 15, 2025
Serekali inapania kujenga shule katika sehemu mbazo hazina shule, kaunti ya Marsabit ili kuzuia wanafunzi kusafiri mbali kusaka elimu. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa elimu katika kaunti ya Marsabit Peter Magiri ni kuwa idara ya elimu jimboni chini ya uongozi wake imependekeza kwa wizara ya elimu hoja ya kujengwa kwa[Read More…]
Wazazi walio na wanafunzi wanaojiunga na gredi ya tisa katika kaunti ya Marsabit wametakaiwa kutohifia chochote kwani mikakati ya kuhakikisha kwamba wanafunzi hao wanaendelea na elimu yao ipasavyo imewekwa. Akizungumza na Shajara Ya Radio Jangwani ofisi mwake mkurugenzi wa elimu katika kaunti ya Marsabit Peter Magiri amesema kuwa serekali imehakikisha[Read More…]
Elavil: Comprehensive Guide to Uses and Safety Elavil, also known by its generic name Amitriptyline, is a prescription medication primarily used to treat depression. It belongs to a class of drugs called tricyclic antidepressants. Elavil works by affecting the balance of neurotransmitters in the brain, thus helping to elevate mood[Read More…]
Understanding Levaquin: A Comprehensive Guide Levaquin, also known by its generic name levofloxacin, is a widely used antibiotic belonging to the fluoroquinolone class. It is primarily prescribed to treat various bacterial infections, including respiratory tract infections, urinary tract infections, and skin infections. Levaquin works by inhibiting bacterial DNA replication, thereby[Read More…]
What is Celebrex? Celebrex, known generically as celecoxib, is a nonsteroidal anti-inflammatory drug (NSAID) commonly prescribed for pain relief and inflammation reduction. It is frequently used to treat conditions such as arthritis, menstrual pain, and other acute pain scenarios. Celebrex belongs to a class of drugs known as COX-2 inhibitors,[Read More…]
Ndotto Warriors ndio mabingwa wa taji la Ahmed Kura Tournament mwaka 2024 baada ya kuilaza timu ya Mt Kulal kwa goli moja kwa nunge kupitia tuta la penalti katika mechi iliyogaragaziwa kwenye uga wa michezo wa Ngurunit,eneo bunge la Laisamis kaunti ya Marsabit. Mechi hiyo ilikamilka sare tasa ya 0-0[Read More…]
Wazee wa baraza la jamii ya Gabra-Yaa wameapa kuungana kupigania umoja wa jamii kabla ya uchaguzi. Wakizungumza wakati wa mkutano wa siku mbili uliowakutanisha wazee kutoka yaa Galbo, Yaa Algana, Yaa Sharbana, Yaa Garr na Yaa Odhol wazee wa baraza hilo wamesihi wanajamii kuungana kwa pamoja kwa minajili ya maendeleo ya[Read More…]
Serikali imesisitiza haja ya mifugo yote nchini iweze kupewa chanjo ili kupanua soko la mifugo la kimataifa. Rais William Ruto akizungumza hii leo katika soko kuu la mifugo ya Kimalel kaunti ya Baringo amesema kuwa chanjo inayoenda kufanyika January mwaka ujao inalenga kuzuia ugonjwa wa mifugo huku akipuuzilia mbali wanaokosoa[Read More…]
Rybelsus: A Breakthrough in Diabetes Management Rybelsus is a revolutionary medication approved for the treatment of type 2 diabetes. It belongs to a class of drugs known as GLP-1 receptor agonists, which help regulate blood sugar levels. Developed by Novo Nordisk, Rybelsus is the first oral GLP-1 receptor agonist available,[Read More…]
Naibu gavana wa Isiolo James Lowassa aelezea hofu kuhusu chanjo ya mifugo inayolenga mifugo mwakani. Huku mjadala kuhusu utata wa chanjo kwa mifugo ukiendelea humu nchini, naibu gavana wa kaunti ya Isiolo James Lowassa ameelezea wasiwasi wake kuhusu chanjo hiyo akidai kuwa jamii ya wafugaji haijahamasishwa vyema wala kuhusishwa. Lowassa[Read More…]