Highlights

Kijusi chapatikana kimetupwa ndani ya kisima katika lokesheni ya Saru

NA Caroline Waforo

Mwili wa Kijusi umepatikana ukiwa umetupwa ndani ya kisima katika lokesheni ya Saru kaunti ndogo ya Dukana kaunti ya Marsabit.

Kulingana na chifu wa lokesheni hiyo Godana Gollo mwili wa kijusi hicho ulipatikana mchana wa leo Alhamisi, na unaaminika kutupwa katika kisima hicho usiku wa jana Jumatano.

Chifu Godana amesema kuwa bado haijabainika aliyetekeleza unyama huo.

Tayari maafisa wa polisi wameanzisha uchunguzi wa kisa hicho.

Radio Jangwani 106.3FM is a community radio station situated in Marsabit County broadcasting from Marsabit town. It is the brain child of the bishop of catholic diocese of Marsabit, Rt. Rev. Peter Kihara. It is established with the objective of reaching the people Marsabit diocese and Marsabit County for evangelization, Education, entertaining and disseminating information to the masses.

Post Comment