Highlights

Hakimu wa Marsabit aonywa wananchi dhidi ya kutoa hongo ili kusaidiwa kupata bondi.

NA Samuel Kosgei

HAKIMU mkuu wa mahakama ya Marsabit Christine Wekesa ametahadharisha wananchi wanaosaka haki mahakamani dhidi ya kutoa hongo ili kusaidiwa kupata dhamana au bondi.

Hakimu Wekesa akizungumza na Radio Jangwani amesema kuwa kutoa pesa kwa mabroka ili kusaidiwa kupata bondi ni kuendeleza ufisadi kwa huduma ambayo mwananchi anafaa kupokea bure.

Anasema sera za mahakama hairuhusu suala la ufisadi, hivyo yeyote anayetoa pesa huwa amelaghaiwa na madalali wa mahakama.

Radio Jangwani 106.3FM is a community radio station situated in Marsabit County broadcasting from Marsabit town. It is the brain child of the bishop of catholic diocese of Marsabit, Rt. Rev. Peter Kihara. It is established with the objective of reaching the people Marsabit diocese and Marsabit County for evangelization, Education, entertaining and disseminating information to the masses.

Post Comment