MILA NA TAMADUNI ZATAJWA KUWA KIKWAZO KWA WANAWAKE KUFANYA MAZOEZI YA MWILI MARSABIT.
November 20, 2024
Hii ni kutokana na ripoti za upungufu wa damu katika hospitali ya rufaa ya Marsabit kutokana na hitaji la juu la damu.
Ni wito ambao umetolewa na Christine Safia ambaye ni afisa wa benki la damu katika hospitali ya rufaa ya Marsabit.
Akizungumza na shajara ya radio jangwani afisini mwake Safia amesema kuwa upungufu wa damu umechangiwa na kufungwa kwa shule kwani asilimia kubwa ya wanaotoa damu ni wanafunzi.
Amedokeza kuwa kutoa damu kunasaidia mtu kujiepusha na magonjwa mbalimbali kama vile shinikizo la juu la damu kando na kuwasaidia wagonjwa.
Vilevile amedokeza kuwa jamii inafaa kuhamasishwa zaidi kuhusu umuhimu wa kutoa damu.
Aidha Christine amewataka wakaazi kutupilia mbali dhana potovu kuhusu utoaji wa damu. Amekariri kuwa utoaji damu ni bure.
CUE IN…CHRISTINE ON MISCONCEPTION