MILA NA TAMADUNI ZATAJWA KUWA KIKWAZO KWA WANAWAKE KUFANYA MAZOEZI YA MWILI MARSABIT.
November 20, 2024
Shirika lisilo la kiserekali la Nature and People as One NaPo limetoa mafunzo ya jinsi la kulinda msitu na rasirimali zingine zilizopo katika kaunti ya Marsabit kwa wanachama wa chama cha kuhifadhi misitu katika eneo bunge la Saku (Saku CFA).
Akizungumza baada ya mkao wa leo, Bonface Hargura afisa kutoka shirika la NaPo ametaja kwamba wanalenga kutoa mafunzo hayo kwa jamii kutokana na ongezeko la idadi ya watu wanaoharibu misitu kwa kukata miti na kuchomaa makaa.
Aidha Hargura ametaja kwamba shirika hilo linalenga kuhakikisha kuwa mafunzo sawa na hayo yanatolewa katika maeneo mengine ya jimbo hili.
Kwa upande wake mwenyekiti wa wanachama wa chama cha kuhifadhi misitu katika eneo bunge la Saku (Saku CFA) John Bute ameitaka jamii kushirikiana na shirika la misitu nchi KFS ili kulinda misitu jimboni.
Hata hivyo baadhi ya walionufaika na mafunzo hayo wakiongozwa Isaac Dokhle wametaja kwamba wameridhishwa na mafunzo hayo huku wakiahidi kuwa wataendeleza mafunzo hayo vijijini.