Levaquin: Comprehensive Guide on Usage, Benefits, and Safety
December 20, 2024
Na Caroline Waforo,
Idara ya usalama mjini Marsabit imepiga marufuku huduma za bodaboda masaa ya usiku.
Kulingana na OCS wa Marsabit Central Edward Mabonga marufuku hiyo inatekelezwa kuanzi saa tano usiku hadi saa kumi asubuhi.
Hii ni katika jitihada za kuimarsha usalama wa kutosha mjini Marsabit kufuatia kuongezeka kwa visa vya wizi ambapo maduka yanaporwa nyakati za usiku.
Kisa cha hivi punde kikiwa ni kuvamiwa kwa duka moja katika eneo 680 viungani mwa mji wa Marsabit usiku wa kuamia hapo jana alhamisi na mali ya dhamana isiojulikana kuibiwa.
Aidha onyo kali imetolewa kwa vijana wanaojihusha na visa vya wizi kuwa watachukuliw ahatua kali za kisheria.