Waititu apatikana na hatia katika kesi ya ufisadi ya shilingi milioni 588
February 12, 2025
Muchai Joseph.
Huku uchaguzi wa mwenyekiti wa umoja wa kimataifa Africa ya AUC ukitarajiwa kufanyika jumamosi hii wakaazi wa mji wa marsabit wametoa maoni yao mseto kuhusu swala hilo.
Wakiongea na kituo hiki baadhi ya wakaazi hao wanahoji kuwa uchagujzi huo utampatia Odinga nafasi ya kuhudumia waafrika hivyo basi wakionesha Imani yao kwa ushindi wa Raila Odinga japo wengine wanahisi kuwa Odinga hakufaa kuwania cheo hicho kwani nchi ya Kenya bado inamhitaji.
Wakati uo huo wanasema kwamba kuondoka kwake kutaacha pengo la kisiaasa haswa katika upinzani huku wengine wakihisi kuwa kuondoka kwake kwenye siasa za humu nchini kutampa rais William Ruto nafasi ya kufanya maendeleo.