Local Bulletins

Waathiriwa wa migogoro ya binadamu na wanyamapori katika kaunti ya Marsabit wapewa fidia.

Na Carol Waforo

Serikali ya kitaifa imetoa fidia kwa waathiriwa wa migogoro ya binadamu ya wanyamapori katika kaunti ya Marsabit.

Fidia hii ni ya walioathiriwa katika kipindi cha mwaka 2014 hadi 2021.

Haya ni kulingana na afisa anyesimamia wanyamapori kaunti ya Marsabit James Kimei.

Vile vile Kimei amewataka waathiriwa kufuatilizia malalamishi yao na shirika hilo ili kuhakikisha kuwa wanapata fidia.

Subscribe to eNewsletter