Local Bulletins

Shughuli ya kuwahesabu  wanyamapori kuanza mwezi ujao katika kaunti ya marsabit,Mandera na wajir

Msimamizi mkuu kwenye mbuga ya wanyama katika kaunti ya marsabit  Augustine Ajuoga amesema kuwa  shughuli ya kuwahesabu wanyama pori unaendelea  na shughuli  hiyo imekua ikifanyika tangu mwaka jana

Vile vile amesema kuwa shughuli hiyo itaaanza  mwezi ujao katika kaunti ya marsabit,Mandera na wajir kwa minajili ya  kujua hali ya wanyama pori hao  ili waweze kujua jinsi watakavyo watunza.

Subscribe to eNewsletter