Mtu mmoja afariki kutokana na ugonjwa wa Kalazaar Marsabit, sita wakipokea matibabu kulingana na serikali ya kaunti.
February 21, 2025
Msimamizi mkuu kwenye mbuga ya wanyama katika kaunti ya Marsabit Augustine Ajuoga amesema kuwa shughuli ya kuwahesabu wanyama pori inaendelea na harakati hiyo imekua ikifanyika tangu mwaka jana
Vile vile amesema kuwa shughuli hiyo itarejelewa mwezi ujao katika kaunti ya marsabit, Mandera na Wajir kwa minajili ya kujua hali ya wanyamapori hao na jinsi watakavyotunzwa.