JAMII YA MARSABIT IMETAKIWA KUTOWAFICHA WATOTO WANAOUGUA UGONJWA WA KUPOOZA KWA UBONGO MAARUFU CEREBRAL PALSY NA BADALA YAKE KUWAPELEKA HOSPITALI WAPATA MSAADA.
September 18, 2024
Na JB Nateleng,
Washikadau wa elimu wanafaa kuketi chini na wazazi pamoja na wakuu wa shule zote ili kuhakikisha kuwa wametoa suluhu la kudumu kuhusiana na kero la shule kuchomwa.
Akizungumza na Shajara Ya Radio Jangwani ofisini mwake, mkurugenzi wa shirika la MWADO,Nuria Gollo ni kuwa wanafunzi wanachoma shule kusubuka kimawazo kutokana na misusrusu ya mambo katika sekta ya nchini.
Nuria amesema kuwa huenda wanafunzi wanahitaji mapumziko mafupi yaani “half-term” na ambayo huwepo katika muhula wa kwanza na wa pili jambo analotka serekali kulishughulikia ipasavyo.
Nuria amesisitiza ushirikiano kati ya wazazi, viongozi wa kidini, wakuu wa shule pamoja na idara ya elimu nchini ili kupata suluhu la kudumu kwani kwani visa hivyo vya kuteketeza shule haviadhiri tu wananfunzi bali pia vinaadhiri wazazi.