Mwanaume mmoja mweye umri wa miaka 24 afariki baada ya kugongwa na nyaya za umeme katika eneo la Dirib Gombo.
February 27, 2025
NA TALASO HUQA
Akizungumza nasi afisini mwake Kadiro amesema kuwa ulishaji wa mifugo katika msitu huo mara nyingi huchangia uhalifu na wizi wa mifugo akisema kuwa wafugaji wanaruhusiwa kupeleka mifugo kunywa maji pekee na pia kulisha mifugo hao wakati ambapo kuna kiangazi.
Aidha Kadiro amewahimiza wakaazi wa Marsabit kuzidi kupanda miti kwa wingi ili kupunguza mabadiliko wa tabianchi akisema kuwa kaunti ya Marsabit ilishuhudia ukame kwa mwaka jana kutokana na mabadiliko hayo.
Hata hivyo ametoa onyo kali kwa wale ambao watakata miti akisema kuwa watachukuliwa hatua kali za kisheria.