JAMII YA MARSABIT YATAKIWA KUJITOKEZA KUPIMWA UGONJWA WA MENINGITIS ILI KUPATA MATIBABU MAPEMA.
November 15, 2024
By Machuki Denson
Wakenya Wengi Wana Matumaini Kwamba Mwaka Wa 2021 Utakuwa Wa Mafanikio Kuliko Wa 2020 Kulingana Na Utafiti Wa Kura Ya Maoni.
Utafiti Huo Uliofanywa Na Kampuni Ya Infotrak, Ambao Mtokeo Yake Yalitolewa Leo Unaonyesha Kwamba Asilimia 61 Ya Wakenya Wana Matumaini Makubwa Kwamba 2021 Utakuwa Mwaka Mzuri Ukilinganishwa Na Mwaka Unaokamilika.
Wengi Wa Waliohojiwa – Asilimia 95 Wamesema 2020 Ulikuwa Mwaka Mgumu Sana Katika Maisha Yao.
Utafiti Huo Ulifanywa Kati Ya Disemba Tarehe 27 Na Tarehe 29 Na Uliwahusisha Watu 800.
Wakenya Wengi Walitaja Ukosefu Wa Ajira , Gharama Ya Juu Ya Maisha Na Ugumu Wa Kupata Huduma Za Afya Kama Mambo Yanayowatatiza.
Asilimia 44 Ya Waliosema 2020 Ulikuwa Mwaka Mgumu Walitaja Ukosefu Wa Fedha Kama Sababu Kuu Ilhali Asilimia 24 Walipoteza Kazi Zao.
Asilimia 21 Walishuhudia Biashara Zao Zikiporomoka Na Kuzifunga Ilhali Asilimia 2 Waliwapoteza Rafiki Au Jamaa Wa Karibu.
Eneo La Pwani Linaongoza Kwa Idadi Ya Watu Wengi Waliotaja Mwaka Wa 2020 Ama Mgumu Kwa Asilimia 72 Likifuatwa Na Nyanza Kwa Asilimia 64.
Asilimia 62 Ya Wakaazi Wa Nairobi Waliutaja Mwaka Wa 2020 Kama Mgumu Zaidi Katika Maisha Yao Ilhali Asilimia 61 Ya Wakaazi Wa Magharibi Waliripoti Kukumbana Na Ugumu Mwaka Wa 2020 .
Hali Haikuwa Na Makali Sana Katika Maeneo Ya Kaskazini Mashariki Kwa Asilimia 60, Rify Valley Kwa Asilimia 59 Na Eneo La Kati Kwa Asilimia 54.