Marehemu padre Frank atajwa kama mtu mkarimu aliyependa kusaidia wasiojiweza katika jamii.
January 22, 2025
By Waihenya Isaac,
Serekali itaendelea kuwandama na kuchukuliwa hatua imesisitiza kuwa viongozi wachochezi humu nchini kwa kueneza siasa chafu.
Haya kwa mujibu wa msemaji wa serekali kanali Cyrus Oguna.
Akizungumza na wananshi wa habari akiwa mjini kilifi alipozuru kukagua miradi ya serekali, Oguna amesema kuwa serekali haitamsaza yeyote akaye chochea wananchi hususan wakti huu taifa linaelekea Katika uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2022.
Aidha Oguna ametaja kuwa serekali haitasita kuwachukulia hatua viongozi wanaovuruga Amani huku akipuzia mbali dhana kuwa ajanda kuu nne za serekali zimesambaratika.
Kadhalika amewaonya wanakandarasi wazembe kuwa watachukuliwa hatua.