Understanding Elavil: Uses, Benefits, and Safety
December 26, 2024
By Isaac Waihenya ,
Serekali ina maafisa wa wafya wa kutosha walionauwezo wa kupeana chanjo ya Korona Nchini.
Hayo ni kwa mujibu wa katibu wa utawala Katika wizara ya Afya daktari Mercy Mwangangi.
Akizungumza mbele ya kamati ya Bunge Kuhusu afya, mwangangi ametaja kuwa wananchi hawafa kuhofia Kuhusu chanjo hiyo huku akitaja kuwa ni salama kwao.
Aidha Mwanganagi amesisistiza kuwa taratibu zote za shirika la Afya Ulimwenguni WHO zinafuatwa wakti wa utoaji wa chanjo hiyo.
Tayari shughuli ya kuwachanja watu milioni moja imengoa nanga baada ya chanjo aina ya OXFORD/Astrazeneka kuwasili humu Nchini wiki jana.
Wahudumuwa afya, maafisa wa usalama, waalimu pamoja na watu waliona matatizo ya kiafya ndio wanapewa kipau mbele Katika utoaji wa chanjo hiyo.