Idara ya Watoto Marsabit yawarai wazazi kuwarejesha wanao shuleni,muhula wa kwanza wa 2025….
January 8, 2025
By Waihenya Isaac,
Waziri wa usalama Daktari fred Matiangi ameleza kuwa serekali imeweka mikakati ya kuhakikisha usalama wakati wa uchaguzi mkuu ujao na pia hali shwari ya kuipokeza mammlaka serekali mpya.
Akizungumza na waandishi wa habari, waziri Matiangi ameleza kuwa asasi za usalamua ziki imara kuhakikisha ya kwamba uslama umeimarishw ahususan kipindi hichi taifa likaribia uchaguzi mkuu.
Ametaja kuwa serekali itawachukulia hatua kali za kisheria viongozi watakaopatikana wakichochea jamii.
Vilevile Matiangi ameonya kuwa Amani huanza na mtu binafsi huku akiwataka wanachi kuripoti visa vyovyote vya uchochezi na Ambavyo vinaweza vuruga Amani hapa nchini.