Vijana wazidi kutiwa shime kupigania haki zao nchini.
January 21, 2025
By Isaac Waihenya.
Askofu Wa Jimbo Katoliki La Marsabit Askofu Peter Kihara Amewataka Wananchi Wakaunti Hii Kudumisha Amani Ili Kuimarisha Maendeleo Katika Kaunti Hii.
Akizungumza Katika Hafla Ya Kufunga Mwaka Iliyoandaliwa Katika Makao Ya Ga vana Wa Jimbo Hili Mohamoud Ali Hapa Mjini Marsabit, Askofu Kihara Amewataka Wananchi Wa Kaunti Ya Marsabit Kuhakikisha Kuwa Wamesameheana Tupoanza Mwaka Mpya Wa 2021.
Askofu Kihara Aliyeongea Kwa Niaba Ya Baraza La Dini Mbalimbali Hapa Jimboni (Marsabit Interfaith Council)Ametaja Kuwa Baraza Hilo Limepiga Hatua Katika Kueneza Injili Ya Amani Hapa Jimboni.