Padre Francisco (Frank) Terragni kupumzishwa hiyo kesho Alhamisi….
January 22, 2025
By Waihenya Isaac.
Asilimia 80 Ya Nzinge Ambao Walivamia Mashamba Katika Kaunti Ya Samburu Wameangamizwa Kufuatia Juhudi Za Shirika La Chakula Dunianai FAO, Serekali Ya Kaunti Ya Samburu Na Pia Serekali Kuu.
Kwa Mujibu Wa Shirika Hilo Ni Kuwa Hali Hiyo Inahatarisha Kutosheleza Kwa Chakula Katika Kaunti Ya Samburu Baada Ya Wadudu Hao Kusababisha Uharibifu Mkubwa.
Aidha Fao Imeahidi Kushirikiana Kwa Karibu Na Asasi Zinahosika Na Maswala Ya Chakula Katika Kaunti Hiyo Huku Ilisambaza Vifaa Vya Kukabiliana Na Nzige Hao Wa Jangwani.
Imeahidi Kuendeleza Juhudi Za Kukabilina na Idadi Chache Ambayo Imesalia Ya Wadudu Hao.
Hayo Yanajiri Huku Baadhi Ya Watu Katika Wadi 15 Katika Kaunti Hiyo Wakipata Mafunzo Kuhusu Jinsi Ya Kukabiliana Na Wadudu Hao Waharibifu.