Vijana wazidi kutiwa shime kupigania haki zao nchini.
January 21, 2025
Picha: Hisani
By Waihenya Isaac,
Spika Wa Bunge La Seneti Ken Lusaka Anatarajiwa Kupokea Azimio La Bunge La Kaunti Ya Nairobi Kupitisha Hoja Ya Kumuondoa Mamlakani Gavana Wa Nairobi Mike Sonko.
Hii Ni Baada Ya Hoja Ya Kutokuwa Na Imani Na Gavana Sonko Kupitishwa Hiyo Jana Ambapo Wakilishi Wadi 88 Waliunga Mkono Hoja Hiyo Huku Wawili Wakipiga Kura Kumuunga Mkono.
Sonko Anatuhumiwa Kwa Matumizi Mabaya Ya Ofisi, Ukiukaji Mkubwa Wa Katiba Na Utovu Wa Nidhamu.
Itakumbukwa Kuwa Gavana Sonko Alikataa Kuidhinisha Bajeti Ya Mamlaka Ya Huduma Za Jiji La Nairobi NMS Akisema Kuwa Hakuna Sheria Inayotengea NMS Shilingi Bilioni 27 Kwa Bajeti Ya Shilingi Bilioni 37.5 Jambo Linalotajwa Kuwa Chanzo Cha Mzozo Kati Yake Ya Wawakilishi Wadi.
Hoja Ya Kumfurusha Sonko Iliwasilishwa Na Kiongozi Wa Wachache Michael Ogada.
Gavana Huyo Atalazimika Kufika Mbele Ya Maseneta Kujitetea Huku Maseneta Hao Wakiwa Na Jukumu La Kuamua Hatma Ya Gavana Sonko.