JAMII YA MARSABIT YATAKIWA KUJITOKEZA KUPIMWA UGONJWA WA MENINGITIS ILI KUPATA MATIBABU MAPEMA.
November 15, 2024
Na Waihenya Isaac,
Rais Uhuru Kenyatta Amewataka Magavana Kujiandaa Kikamilifu Kupambana Na Janga La Korona Iwapo Janga Hili Linaweza Endelea Kutikisa Ulimwengu Kwa Kipindi Kirefu.
Akizungumza Jijini Nairobi Wakati Wa Mpango Wa Magatuzi Kuimarisha Hali Ya Uchumi Nchini Kutokana Na Adhari Ya Virusi Ya Korona Ambavyo Vimeadhiri Uchumi Wa Nchi, Rais Uhuru Kenyatta Ametaja Kuwa Ipo Hoja Ya Kukumbatia Ugatuzi Ili Kuimarisha Maisha Ya Wananchi Mashinani.
Aidha Amesifia Mpango Wa Ujenzi Wa Jengo La Baraza La Magavana Litakalo Kuwa Na Afisi Za Idara Mbali Mbali Za Serekali, Akitaja Kuwa Jengo Hilo Litarahishisha Utekelezwaji Wa Huduma kwa Mwananchi.
Kadhalika Rais Kenyatta Amekariri Kuwa Uchumi Wa Taifa Umejikokota Kwa Ukuaji Licha Ya Kukua Kwa Aslimia 0.6 Kutoka Kwa Aslmia 5.4 Mwaka Huu Hadi Aslimia 6.6 Mwaka Jana.
Kwa Upande Wake Naibu Wa Rais William Ruto Amewapongeza Magava Kwa Kukubantia Ugatuzi Na Kuwa Katika Mstari Wa Mbele Kuhakikisha Kuwa Unafaulu.
Ruto Ametaja Kuwa Ushirikiano Kati Ya Serekali Kuu Na Serekali Za Kaunti Unabadilisha Maisha Ya Wakenya.