Vijana wazidi kutiwa shime kupigania haki zao nchini.
January 21, 2025
Picha: Hisani
By Adho Isacko
Askofu Mteule Michael Otieno Odiwa Amesema Kuwa Amekubali Kwa Unyenyekevu Kuteuliwa Kuwa Askofu Wa Dayosisi Ya Homa Bay Baada Ya Kuteuliwa Siku Ya Jumapili Na Papa Wa Kanisa Katoliki Papa Francis.
Akizungumza Nchini Australia Padre Odiwa Amesema Kuwa Atajitolea Kuhakikisha Kuwa Anaendeleza Kazi Nzuri Ya Uongozi Wa Jimbo Kama Mtagulizi Wake Askofu Mkuu Wa Jimbo Kuu La Kisumu Philip Anyolo Ili Kuendeleza Na Huduma Kwa Wakristu Wote.
Aidha Amewaomba Wakristu Wote Kumwombea Wakati Huu Ili Aweze Kupata Busara Ya Kuwaongoza.
Kwa Upande Wao Wakristu Pamoja Na Mapadri Kutoka Eneo La Homa Bay Wameonyesha Furaha Yao Kufuatia Kuteuliwa Kwa Padre Michael Otieno Odiwa Kuwa Askofu Wa Dayosisi Ya Homa Bay.