Jimbo katoliki la Marsabit laadhimisha miaka 60 ya kueneza Injili.
November 23, 2024
Wazazi katika kaunti ya Marsabit wamehimizwa kujukumika zaidi na kuwatunza watoto wao dhidi ya maovu yanayoweza kujiri kipindi cha likizo. Kwa mjibu ya mwenyekiti wa chama cha wazazi katika kaunti ya Marsabit, Ali Nur ambaye amezungumza na idhaa hii kwa njia ya simu, amewataka wazazi kuhakikisha kwamba wanafuatilia mienendo ya[Read More…]
NAIBU kamishna wa kaunti ndogo ya Laisamis Kepha Maribe amesema elimu pekee kwa jamii za Marsabit ndio suluhu mwafaka ya kumaliza kero la wizi wa mifugo ambao hushuhudiwa mara nyingi katika eneobunge hilo. Maribe akizungumza na shajara ya Radio Jangwani amesema kuwa serikali chini ya uongozi wake utahakikisha kuwa watoto[Read More…]
Wazazi katika kaunti ya Marsabit wahimizwa kuwajibika kwa kuchunga wanao katika kipindi cha likizo ndefu ya mwezi Disemba. Huku wanafunzi wakitarajiwa kuelekea likizo ndefu ya mwezi disemba, wazazi katika kaunti ya Marsabit wamehimizwa kuwajibika kwa kuchunga wanao kipindi hicho cha likizo. Ushauri huo umetolewa naye mkurugenzi mkuu wa shirika la[Read More…]
Huku seneti ikizidi kusikiliza kesi dhidi ya kuondolewa kwa naibu rais rigathi Gachagua, baadhi ya wakaazi wa kaunti ya Marsabit wameelezea maoni yao kinzani kuhusu hatma ya Gachagua. Baadhi wameunga mkono kuondolewa kwake huku wengine wakipinga mpango huo wakidai kuwa Gachagua hana hatia bali anawindwa kisiasa. Baadhi ya wanaopinga mchakato[Read More…]
Licha ya kaunti ya Marsabit kuwa na idadi kubwa ya mifugo imebainika kuwa idadi hiyo haiwezi ikafikia kiwango cha kuuzwa katika soko la kimataifa. Mkurugenzi wa idara ya mifugo kaunti ya Marsabit Moses Lengarite amesema kuwa soko la kimataifa ni kubwa hivyo taifa la Kenya haliwezi kutosheleza hilo kutokana na[Read More…]
Katika juhudi za kuimarisha usalama jimboni Marsabit idara ya usalama imeanza mchakato wa kuwapiga msasa watu watakaojiunga na maafisa wa akiba NPR. Akizungumza na shajara ya radio Jangwani kamanda wa Kaunti hii ya Marsabit Leonard Kimaiyo amesema kuwa maeneo yaliyo mipakani yatapewa kipaumbele kutokana na utovu wa usalama ambao umekuwa[Read More…]
Idara ya misitu humu jimboni Marsabit inalenga kupanda miti katika maeneo kame, tambarare na milima humu jimboni ili kupunguza maeneo yenya jangwa pamoja na kufanikisha mpango wa seriklai wa kupanda miti bilioni 15 ifikapo mwaka 2032 ambapo kaunti ya Marsabit imeratibiwa kupanda miti bilioni 2.5 ifikapo mwaka huo. Mradi huu[Read More…]
Ni wakati wa kuasi mila potovu na kurusuhu wasichana katika kaunti ya Marsabit kusoma. Haya yamekaririwa na mkurugenzi wa elimu katika kaunti ya Marsabit Peter Magiri. Akizungumza katika eneo la Kalacha, wakati wa hafla ya wazee wa jamii ya Gabra kupiga marufuku tamaduni ya kuwaoza wasichana waliochini ya umri wa[Read More…]
DCC wa eneo la Marsabit North (Maikona) Pius Njeru amewataka wazazi katika kaunti ya Marsabit kuhakikisha kwamba wanawapeleka watoto shuleni bila kuwabagua. Akizungumza katika eneo la Kalacha wakati wa hafla ya wazee wa jamii ya Gabra kupiga marufuku tamaduni ya kuwaoza wasichana waliochini ya umri wa miaka 18, DCC Njeru[Read More…]
Sasa ni afueni kwa wasichana kutoka jamii ya Gabra katika kaunti ya Marsabit baada ya wa wazee wa jamii hiyo maarufu YAA kupiga marufuku tamaduni ya kuwaoza wasichana waliochini ya miaka 18. Hafla hiyo iliyofanyika katika eneo la kitamaduni, katika kijiji cha Kalacha na kufadhiliwa na shirika la kutetea haki[Read More…]