Upungufu wa maafisa wa kuhamsisha umaa kuhusu mabadiliko ya tabia nchi wachangia kudorora kwa kilimo Marsabit…
January 17, 2025
UCHIMBAJI wa migodi katika eneo la Hillo eneobunge la Moyale utasalia kufungwa na kuingia eneo hilo kwa saasa ni kinyume cha sheria. Onyo hilo limekaririwa na Collins Ochieng ambaye ni mwanajiolojia katika kaunti ya Marsabit. Akizungumza na idhaa hii ofisini mwake Ochieng amesema kuwa ikiwa mgodi huo ungekuwa unafanya kazi[Read More…]
Baadhi ya wakaazi wa Marsabit wamepewa mafunzo kuhusu namna ya kutumia meko ya kisasa kupikia chakula ikiwa ni lengo mojawapo ya taifa la Kenya kufikia asilimia 100 ifikapo 2028 katika kupika na meko yenye kukabili hewa chafu. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya kipekee afisini mwake mkurugenzi mkuu katika[Read More…]
Mtihani ya kitaifa ya gredi ya sita KPSEA umeongo’a nanga rasmi hii leo huku wanafunzi wakikalia mtihani wa Hesabu na kingereza. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa elimu katika kaunti ya Marsabit Peter Magiri ni kuwa ni jumla ya watahiniwa 8,383 wa shule za msingi ambao wamekalia mtihani huo katika vituo vya[Read More…]
Wakaazi wa kaunti ya Marsabit wamesifia matumizi ya mitandao katika jamii kwa kusema kuwa inasaidia kuwaunganisha na wapendwa wao na kuwajuza yanayojiri katika maeneo tofauti duniani. Baadhi ya waliozungumza na Shajara Ya Radio Jangwani, wamesema kuwa mtandao unasaidia pakuwa katika kuelimisha jamii na kuwataatharisha kuhusiana na mabadiliko ya tabia nchi[Read More…]
Vijana wa kaunti ya Marsabit wametoa hisia zao kuhusiana na ukosefu wa ajira. Baadhi ya waliozungumza na Shajara ya Radio Jangwani, wamelalamikia kuwa ukabila na ufisadi ndio kikwazo kikuu katika upatikanaji wa ajira hapa nchini. Wamesema kuwa idadi kubwa ya watu wanaajiriwa kwa misingi ya kabila huku wakihisi kutengwa kutokana na[Read More…]
Mwenyekiti wa shirikisho la mpira wa miguu FKF tawi la Marsabit Mohamed Nane amekanusha madai kuwa amejiuzulu na kujiondoa katika kinyanganyiro cha mweyekiti wa shirikisho hilo kwenye uchaguzi mkuu wa Disemba 11 mwaka huu. Akizungumza na Radio Jangwnai kwa njia ya simu, Mohamed Nane ameutaja uvumi huo kama propaganda zinzoenezwa[Read More…]
Wito umetowa kwa wanaume kuweza kujitokeza na kuripoti visa vyovyote vya dhuluma wanazopitia ili waweze kusaidika. Kwa mujibu imamu wa msikiti wa Jamia hapa mjini Marsabit Sheikh Mohamed Noor, Wanaume wanapitia changamoto si haba ambayo japo wengi wao huamua kunyamaza jambo ambalo linawafanya kuathirika zaidi kimawazo. Akizungumza na idhaa hii[Read More…]
Shirika lisilo la kiserekali la Nature and People as One NaPo limetoa mafunzo ya jinsi la kulinda msitu na rasirimali zingine zilizopo katika kaunti ya Marsabit kwa wanachama wa chama cha kuhifadhi misitu katika eneo bunge la Saku (Saku CFA). Akizungumza baada ya mkao wa leo, Bonface Hargura afisa kutoka[Read More…]
Idara ya usalama inashirikiana na idara ya elimu katika eneo la Loiyangalani ili kuhakikisha kuwa wanafunzi wamefanya mitihani yao ya kitaifa bila tatizo lolote. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya simu naibu kamishna wa eneo la Loiyangalani Stanley Kimanga amesema kuwa kwa ushirikiano na wakazi pamoja na idara ya[Read More…]
NAIBU kamishna wa kaunti ndogo ya Laisamis Kepha Maribe amesema elimu pekee kwa jamii za Marsabit ndio suluhu mwafaka ya kumaliza kero la wizi wa mifugo ambao hushuhudiwa mara nyingi katika eneobunge hilo. Maribe akizungumza na shajara ya Radio Jangwani amesema kuwa serikali chini ya uongozi wake utahakikisha kuwa watoto[Read More…]