Editorial

SIKU MOJA BAADA YA NAIBU WA RAIS RIGATHI GACHAGUA KUMUOMBA MSAMAHA RAIS WILIAM RUTO KUHUSIANA NA IWAPO AMEKOSEA, WAKAAZI WA MARSABIT WAMETOA MAONI YAO KUHUSIANA NA HATUA HIYO.

Siku moja tu baada ya naibu wa Rais Rigathi Gachagua kumuomba msamaha Rais Wiliam Ruto kuhusiana na iwapo amekosea na kupelekea mswaada wa kutaka abanduliwe mamlakani kufikishwa bungeni, baadhi ya wakaazi wa Marsabit wametoa maoni yao kuhusiana na hatua hiyo. Baadhi ya waliozungumza na Shajara ya Radio Jangwani wametaja kuwa[Read More…]

Read More

POLISI MJINI MARSABIT WANAMZUILIA MWANAMME MMOJA MWENYE UMRI WA MIAKA 37 AMBAYE ALIYEKAMATWA JANA JIONI KWA MAKOSA YA KUIBA SHILINGI ELFU 69 KATIKA DUKA LA MPESA MJINI MARSABIT.

Polisi mjini Marsabit wanamzuilia mwanamme mmoja mwenye umri wa miaka 37 ambaye aliyekamatwa jana jioni kwa makosa ya wizi katika duka la MPesa mjini Marsabit. Akidhibitisha kisa hicho OCS wa Marsabit Central Edward Mabonga ametaja kwamba mhalifu kwa jina Musei Ndemwa alitiwa mbaroni jana jioni katika eneo la Frontline karibu[Read More…]

Read More

WAKENYA WATAKIWA KUKATAA KUGAWANYWA KWA MISINGI YA KIKABILA…

Wakenya wametakiwa kukataa kugombanishwa viongozi wa kisiasa na badala yake wasimame kidete kama wazalendo. Kwa mujibu wa Askofu mkuu wa jimbo kuu la Nyeri Askofu Antony Muheria kwenye ujumbe wake jana ni kuwa baadhi ya viongozi wanaeneza chuki baina ya jamii jambo linalohataisha uiano wa nchi. Akizungumza katika ibada ya[Read More…]

Read More

MAHAKAMA YA MARSABIT YAWAACHILIA KWA DHAMANA YA SHILINGI 200,000, WATU WANNE WALIOKAMATWA WAKISAFIRISHA KILO 10 ZA BANGI KATIKA MAKUTANO YA BURGABO,MARSABIT.

 Watu wanne wameshtakiwa katika mahakama ya Marsabit kwa kosa la ulanguzi wa bangi leo Ijumaa. Wanne hao wanaojuimusha Anthony Mbae, Boniface Mwenda, Benjamin Muiruri na Danson Mureithi walikamatwa wakisafirisha kilo 10 za bangi zenye thamani ya shilingi 160,000 katika makutano ya Burgabo katika barabara ya Moyale kuelekea Marsabit saa nne[Read More…]

Read More

HISIA KINZANI ZIAIBULIWA KATIKA KIKAO CHA UMAA CHA KUTOA MAONI KUHUSIANA MSWAADA WA KUMBADUA MAMLAKANI NAIBU WA RAIS RIGATHI GACHAGUA.

Hisia kinzani zimeibuliwa katika kikao cha umaa cha kutoa maoni kuhusiana mswaada wa kumbadua mamlakani naibu wa rais Rigathi Gachagua. Baadhi ya wananchi ambao wamezungumza katika kikao hicho ambacho kimeandaliwa katika ukumbi wa kanisa Katoliki hapa mjini Marsabit, wametaja kuunga mkono ajenda ya kumtimua naibu wa rais kwa kile wamekitaja[Read More…]

Read More

POLISI KAUNTI YA MARSABIT WAMUUA MHALIFU MMOJA KATIKA ENEO LA BADASA BAADA YA JARIBIO LA WIZI WA MIFUGO KUTIBUKA

Polisi katika kaunti ya Marsabit wamemuua mhalifu mmoja katika eneo Badasa baada ya jaribio la wizi wa mifugo kutibuka. Akithibitisha kisa hicho kamanda wa polisi kaunti ndogo ya Marsabit ya kati, Edward Ndirangu amesema kuwa kisa hichi kilijiri jana saa sita mchana, ambapo watu waliokuwa wamejihami na bunduki walivamia wafugaji[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter