NDOTTO WARRIORS WATWA UBINGWAWA TAJI LA AHMED KURA TOURNAMENT MWAKA 2024…
December 18, 2024
Vijana wa kaunti ya Marsabit wametoa hisia zao kuhusiana na ukosefu wa ajira. Baadhi ya waliozungumza na Shajara ya Radio Jangwani, wamelalamikia kuwa ukabila na ufisadi ndio kikwazo kikuu katika upatikanaji wa ajira hapa nchini. Wamesema kuwa idadi kubwa ya watu wanaajiriwa kwa misingi ya kabila huku wakihisi kutengwa kutokana na[Read More…]
Mwenyekiti wa shirikisho la mpira wa miguu FKF tawi la Marsabit Mohamed Nane amekanusha madai kuwa amejiuzulu na kujiondoa katika kinyanganyiro cha mweyekiti wa shirikisho hilo kwenye uchaguzi mkuu wa Disemba 11 mwaka huu. Akizungumza na Radio Jangwnai kwa njia ya simu, Mohamed Nane ameutaja uvumi huo kama propaganda zinzoenezwa[Read More…]
Chama cha kutetea maslahi ya walimu (KNUT) tawi la Marsabit kimechagua mwalimu Kula Lula Omar kuwa mwenyekiti wake mpya kwenye uchaguzi mdogo ulifanyika mjini Marsabit siku ya Jumamosi. Kula sasa anajaza nafasi hiyo iliyoachwa wazi na mumewe aliyeaga dunia mwanzoni mwa mwaka Huu. Nafasi hiyo ilikuwa imevutia wagombeaji wawili ambao ni Kula[Read More…]
Mkurugenzi wa elimu kaunti ya Marsabit Peter Magiri ameshutumu wazazi na walimu ambao wanazidi kulipa pesa ili watoto wao wadanganye kwenye mitihani ya kitaifa ya darasa la sita KPSEA. Magiri akizungumza na walimu kwenye mkutano wao wa kufunga mwaka ulioandaliwa mjini Marsabit amesema ni swala la kushangaza kuona bado walimu[Read More…]
ASKOFU wa kanisa la PEFA kaunti ya Marsabit Fredrick Gache Jibo amekosoa viongozi wa kisiasa nchini kwa kutoipa kipaumbele maslahi ya wakenya wanaopitia magumu kwa sasa. Askofu Gache akizungumza na radio Jangwani amesema kuwa viongozi wakuu serikalini wanapigania maslahi yao kwa kutumia kiwango kikubwa cha pesa kulipa mawakili kwenye kesi[Read More…]
Wakaazi wa kaunti ya Marsabit wametakiwa kuendelea kutoa ripoti muhimu kuhusiana na visa vya ugaidi na itikadi kali ili kuhakikisha kwamba taifa liko salama. Kwa mujibu wa afisa wa mipango katika shirika la SND Wako Boru ni kuwa wananchi wanafaa kutoa ripoti zote muhumu kwa maafisa wa usalama ili kuzuia[Read More…]
Shirika lisilo la kiserekali la Nature and People as One NaPo limetoa mafunzo ya jinsi la kulinda msitu na rasirimali zingine zilizopo katika kaunti ya Marsabit kwa wanachama wa chama cha kuhifadhi misitu katika eneo bunge la Saku (Saku CFA). Akizungumza baada ya mkao wa leo, Bonface Hargura afisa kutoka[Read More…]
Kiu ya elimu inaonekana kuisakama idadi kubwa ya watu wazima katika kaunti ya Marsabit haswa kina mama ambao wanaonekana kutafuta huduma za masomo katika taasisi za elimu ya Gumbaru. Kutokana na kiu na hitaji la baadhi ya kina mama kusoma ili kujitengemea kimaisha, idadi kubwa ya akina Mama imejisajili katika[Read More…]
Idara ya usalama inashirikiana na idara ya elimu katika eneo la Loiyangalani ili kuhakikisha kuwa wanafunzi wamefanya mitihani yao ya kitaifa bila tatizo lolote. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya simu naibu kamishna wa eneo la Loiyangalani Stanley Kimanga amesema kuwa kwa ushirikiano na wakazi pamoja na idara ya[Read More…]
HUKU taifa likiwa limezama kwenye mjadala wa mgogoro wa uongozi kati ya rais William Ruto na Rigathi Gachagua wito wa amani na utulivu unazidi kutolewa na viongozi wa kidini. Askofu wa kanisa la kianglikana kaunti ya Marsabit Daniel Wario Qampicha ameirai pande zote mbili zinazozona kusitisha malumbano yao kwani hali[Read More…]