Local Bulletins

regional updates and news

MTAALAMU WA LISHE ATAHADHARISHA DHIDI YA KULA MAYAI KUPITA KIASI

Wakaazi katika kaunti ya Marsabit wameshauriwa kuhusu kupunguza kula mayai kupita kiasi. Akizungumza na idhaa hii afisini mwake, mtaalamu wa lishe Regina Dorman amesema kuwa magonjwa kama kisukari yanaweza kuepukwa kwa kupunguza matumizi mengi ya mayai. Alitahadhirisha kwamba ulaji wa mayai kwa kiasi ni muhimu lakini matumizi ya kupita kiasi[Read More…]

Read More

VIONGOZI KORR, WATUMAI SAFARI YA KINDIKI ENEO HILO ITAWAFAIDI

VIONGOZI waliochaguliwa katika eneobunge la Laisamis kaunti ya Marsabit wametaja safari ya naibu rais Kithure Kindiki siku ya Jumapili kuwa yenye manufaa kwao ikizingatiwa ahadi ambazo Kindiki alizitoa kwa wakaazi hao. MCA wa Korr/Ngurnit Daud Tomasot akizungumza na radio jangwani ameonesha Imani kuwa ahdi ya kaunti ndogo ya Korr itawafaa[Read More…]

Read More

Mfumo wa kutatua kesi nje ya mahakama (AJS) wazinduliwa rasmi,Marsabit.

Mfumo wa kutatua kesi nje ya mahakama maarufu Alternative Justice System AJS umezinduliwa rasmi leo hii katika kaunti ya Marsabit. Uzinduzi huo umeongozwa na Jaji Mkuu Martha Koome aliyeandamana na jaji wa Mahakama kuu ya Marsabit Jesse Nyagah pamoja na Jaji wa mahakama ya Rufaa Fred Ochieng. Akizungumza katika hafla[Read More…]

Read More

BARAZA LA WATU WANAOISHI NA ULEMAVU LAADHIMISHA MIAKA 20 TANGU KUADHIMISHWA KWAKE HUKU JUMBE ZA KUWAJALI WALEMAVU ZIKISHEHENI.

Baraza la watu wanaoishi na ulemavu limeadhimisha miaka 20 tangu kuadhimishwa kwake huku jumbe za kuwajali walemavu zikisheheni wakati wa maadhimisho hayo hapa jimboni Marsabit. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa idara ya huduma za jamii katika kaunti ya Marsabit Galgallo Okata ni kuwa serekali ya kaunti ya Marsabit imehakikisha kwamba[Read More…]

Read More

TUWASOMESHA WATOTO WAKIWA NA UMRI MDOGO – ASHAURI MKURUNGEZI WA ELIMU KAUNTI YA MARSABIT PETER MAGIRI.

Wazazi katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kuhakikisha kwamba wamewapeleka wanao shuleni ili wapate elimu wakati wapo katika umri wa kusoma. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa elimu katika kaunti ya Marsabit ni kwamba ni changamoto kwa wengi kusoma wakiwa watu wazima jambo linaloweza kuadhiri masomo yao. Akizungumza na Shajara ya Radio[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter