Levaquin: Comprehensive Guide on Usage, Benefits, and Safety
December 20, 2024
regional updates and news
Wakaazi katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kujikinga na baridi ili kujiepusha na magonjwa yanayosababishwa na baridi. Haya ni Kwa mujibu wa Bonsa Doti ambaye ni muuguzi wa afya katika hospitali ya rufaa ya Marsabit. Akizungumza na shajara ya Radio Jangwani afisini mwake, Doti amesema kuwa ni muhimu kujizuia baridi kwa[Read More…]
Visa vya utapiamlo vimeongeka hadi asilimia 15.2 kutoka 13.5 katika kaunti hii ya Marsabit. Ongezeko hili likiwa ni kutoka mwezi wa Julai hadi mwezi septemba mwaka huu kulingana na deta za mamlaka ya kukabiliana na ukame NDMA. Kulingana na afisa mkuu wa lishe bora katika kaunti ya Marsabit David Buke,[Read More…]
Wahamiaji haramu 23 raia wa Eritrea wamefikishwa katika mahakama ya Marsabit kwa mashtaka ya kupatikana nchini bila shtakabadhi za kuwaruhusu kuwa nchini. Wahamiaji hao walikamatwa na maafisa wa polisi katika eneo la manyatta Karatasi eneo bunge la Saku Kaunti hii ya Marsabit. Miongoni mwa wahamiaji hao ni wanaumme 19 na[Read More…]
GAVANA wa kaunti ya Marsabit Mohamud Ali amemtaka rais William Ruto kumaliza kero la ukosefu wa maji katika kaunti za ukanda huu wa kaskazini. Gavana Ali akizungumza katika eneo la Archers Post kaunti ya Samburu leo Ijumaa amemtaka rais kuhakikisha kuwa mabwawa ya maji yaliyochimbwa au yanayochimbwa yakamilishwe kwa haraka[Read More…]
Siku moja baada ya walemavu kupata usaidizi mbalimbali kutoka kwa mbunge wa Saku Dido Ali Raso na Senata wa Marsabit Mohamed Chute, watu wanaoishi na ulemavu wa kutozungumza wamekariri kuwa wanapitia changamoto nyingi katika kaunti hii. Baadhi ya waliozungumza na Idha hii wamesema kuwa changamoto kuu wanayokumbana nayo na kukosekana[Read More…]
Mashirika yasiyo ya kiserikali yamehimizwa kuwasaidia watoto wakati wa likizo kwa kuandaa mchezo ili kusaidia watoto wajiepushe na mihadarati. Akizungumza na idhaa hii Evana Esokon ambaye ni msimamizi wa shirika la Loyangalani Spring Of Hope ni kuwa wakati wa likizo ndefu watoto wengi wanajihusisha na mambo ambayo hayafai kama vile[Read More…]
MWAKILISHI wadi wa Obbu, Halkano Rare amekariri haja ya idara ya usalama hapa Marsabit kusaidia kuondolewa kwa wafugaji kutoka eneobunge la Eldas, Wajir ambao wanaendelea kulisha mifugo yao katika wadi ya Obbu, Sololo kaunti hii ya Marsabit. Rare ameambia Radio Jangwani kuwa licha ya ofisi yake kutoa ombi kwa idara[Read More…]
Ni afueni kwa watu wanaoishi na Ulemavu katika kaunti ya Marsabit baada ya senEta wa kaunti hii Mohamed Chute akishirikiana na mbunge wa Sakuu Ali Raso kuwapa vifaa vya kuwasaidia. Kwa mujibu wa mshirikishi katika ofisi mbunge wa Saku Bonaya Doti ni kuwa walemavu wengi wamebahati kupata vitu kadhaa kama[Read More…]
Watu 23 raia wa Eritrea walikamatwa hiyo jana katika kaunti ya Marsabit kwa kuwa humu nchini bila stakabadhi hitajika. 23 hao wanazuiliwa katika kituo cha polisi cha Marsabit wakisubiri kufikishwa mahakamani. Kulingana na kamishna wa kaunti ya Marsabit James Kamau idara ya usalama jimboni imewakamata wahamiaji 120 bila stakabadhi hitajika[Read More…]
Kilo 521 na misokoto 386 ya bangi yenye Thamani ya shilingi milioni 12 imechomwa hii leo katika eneo la kutupa taka la Shegel kaunti ya Marsabit. Bangi hiyo iliyonaswa kati ya mwaka 2019 hadi mwaka 2023 katika maeneo ya Turbi, North Horr, Loiyangalani pamoja na Marsabit ya kati imetekezwa kufuatia[Read More…]