Author: Editor

ZAIDI YA WATU 50 WANUFAIKA NA VIFAA KUTOKA KWA SHIRIKA LA THE NATIONAL FUND FOR THE DISABLED OF KENYA (NFDK) KATIKA KAUNTI YA MARSABIT.

Zaidi ya watu 50 wamenufaika na vifaa kutoka kwa shirika la The National Fund for the Disabled of Kenya (NFDK) katika kaunti ya Marsabit. Kwa mujibu wa mwanachama wa bodi ya shirika hilo Profesa Julia Ojiambo ni kuwa watu hao ni kutoka kaunti ndogo tatu za jimbo la Marsabit ambazo ni Laisamis, Saku na Moyale.[Read More…]

Read More

MOHAMED NANE AMEWEKA WAZI SABABU YA KUSUSIA UCHANGUZI WA LEO.

Mwenyekiti wa shirikisho la mpira wa miguu tawi la Marsabit Mohamed Nane ameweka wazi kuwa amesusia uchanguzi wa leo kutokana na mpinzani wake kuwashawishi wapiga kura kwa misingi ya kikabila. Nane ambaye hakuwasili katika ukumbi wa uchanguzi wala kutuma ajenti wake ametaja kwamba mpizani wa Godana Roba Adi amewashawishi wapiga[Read More…]

Read More

Tamasha la muziki ya watoto wa PMC laanza Marsabit

Mashindano ya Muziki ya Watoto wa PMC yameanza rasmi leo katika Kanisa Katoliki la Marsabit. Akizungumza na idhaa hii, Andrew Abdub ambaye ni mwenyekiti wa parokia, amesema kuwa vigango vinne vitashiriki katika tamasha hilo. Alisisitiza kwamba lengo la mashindano ya leo ni kutafuta washiriki watakaowakilisha dayosisi ya Marsabit katika tamasha[Read More…]

Read More

WAZAZI MARSABIT WATAKIWA KUASI MILA YA KUCHANJA WATOTO WANAOCHELEWA KUTEMBEA

Baadhi a desturi ambayo wazazi wanatumia kuwatibu watoto waliochelewa kutembea imetajwa kuathiri watoto wengi na hata kuwaletea shida za kimwili. Kulingana na Waqo Huqa ambaye ni daktari anayeshughulikia ulemavu watoto amesema wazazi wengi hutumia njia ya kitamaduni ambazo zinaathiri maisha ya watoto  na hata kuwasababishia ulemavu. Huqa akizungumzia mila hizo,[Read More…]

Read More

WANADADA WAONYWA DHIDI YA KUTUMIA DAWA ZA KUNENEPESHA KWANI HUCHANGIA UGONJWA WA KISUKARI

Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya ugonjwa wa kisukari siku ya Alhamisi wanadada katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kujiepusha na matumizi ya dawa za kunenepesha mili ikitajwa kuchangia ugonjwa huo. Akizungumza na shajara ya radio Jangwani afisini mwake afisa anayesimamia ugonjwa usiokuwa wa kuambukiza Sororo Abudho amedokezo kuwa dawa hizo zina chembechembe[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter