Author: Editor

Wafugaji Narok,wahimizwa kukukubali chanjo kutolewa kwa mifugo wao….

Na Isaac Waihenya, Naibu Gavana wa Narok, Tamalinye Koech amewahimiza wafugaji kutoka kaunti hiyo kukukubali chanjo kutolewa kwa mifugo wao akisema kwamba itakuwa ya manufaa zaidi kwani mifugo hao watalindwa dhidi ya magonjwa mbalimbali. Akizungumza na waadhishi wa habari naibu Gavana huyo amesisitiza haja ya wananachi kutopotoshwa na watu wanaolenga[Read More…]

Read More

Serikali yazindua operesheni kali ya Ondoa Jangili katika kaunti za Marsabit na Isiolo.

Na Waandishi Wetu, Serikali kupitia idara ya polisi nchini imezindua operesheni kali ya Ondoa Jangili katika kaunti za Marsabit na Isiolo. Operesheni hii inalenga kuwaondoa wahalifu kutoka kundi la Oromo liberation Army {OLA} linaloaminika kuendeleza shughuli za uhalifu katika kaunti hizi mbili ikiwemo biashara ya bunduki harama na ulanguzi wa dawa za kulevya[Read More…]

Read More

Mahakama – Kesi ya mauaji ya watoto mapacha yaliyofanyika Marsabit hayatasuluhushwa nje ya mahakama kupitia mfumo (AJS)

Na Caroline Waforo Kesi ya mauaji ya watoto mapacha katika eneo la Dololo, kaunti ndogo ya Dukana kaunti ya Marsabit haitasuluhushwa nje ya mahakama kupitia mfumo mbadala wa sheria maarufu Alternative Justice System. Haya yamewekwa wazi na hakimu mwandamizi wa mahakama ya Marsabit Simon Arome. Arome amezunguma wakati wa kikao[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter