Author: Editor

HAKUNA UPUNGUFU WA CHANJO YA WATOTO LOIYANGALANI – ASEMA MSIMAMIZI WA CHANJO NAOMI LETOROR.

NA ISAAC WAIHENYA Msimamizi wa zoezi la kusambaza chanjo katika kaunti ndogo ya Laisamis kaunti ya Marsabit Bi. Naomi Lentoror amekanusha madai ya kukosekana kwa chanjo mbalimbali katika wadi ya Loiyangalani. Akizungumza na Idhaa hii kwa njia ya simu,Bi. Lentoror ametaja kwamba idara hiyo ilisambaza chanjo katika vituo vyote vya[Read More…]

Read More

WAKAZI WA KIJIJI CHA DIKIL KIMAT,LOIYANGALANI, WAKARABATI BARABARA ILIYOHARIBIWA NA MAFURIKO

NA JB NATELENG Wakazi wa kijiji cha Dikil Kimat, eneo la Loiyangalani, kaunti ya Marsabit wameamua kufanyia ukarabati barabara ambayo ilikuwa imeharibiwa na mafuriko yaliyoshuhudiwa katika eneo hilo mwezi wa nne mwaka huu. Akizungumza na shajara ya Radio Jangwani kwa njia ya simu, Joseph Atele ambaye anaongoza shughuli hiyo amesema[Read More…]

Read More

VIONGOZI WA KIDINI KAUNTI YA ISIOLO WATAKA WANANCHI KUWASAMEHE WABUNGE WALIOPIGIA KURA MSWADA WA FEDHA 2024.

Na Samuel Kosgei, Wito umetolewa kwa wakaazi kaunti ya Isiolo na wakenya kwa ujumla kuwasamehe na kuwapea wabunge nafasi ya kuwahudumia licha ya wao kupitisha mswada uliokuwa umepingwa na wakenya. Wito huo umetolewa na Ahmed Sett ambaye ni mwenyekiti wa muungano wa viongozi wa kidini kaunti ya Isiolo Akihutubia wanahabari[Read More…]

Read More

MSWAADA KUHUSIANA NA KUZIKWA KWA TAKA ZA NYUKLIA KATIKA ENEO LA KARGI KUWASILISHWA BUNGENI.

Na JB Nateleng, Mkurugenzi wa programu katika shirika lisilo la kiserikali la Pastrol People Initiative Steve Baselle amesema kuwa shirika hilo litaandaa mswada wa kupeleka bungeni ili kuweza kuhoji serekali kuhusu upatikanaji wa taka za nyuklia katika wadi ya Kargi eneo bunge la Laisamis Kaunti ya Marsabit. Baselle ameelezea kuwa[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter