Author: Editor

MAKUNDI YANAYOFANYA BIASHARA YA UPANZI WA MICHE KAUNTI YA MARSABIT YATAKIWA KUJIANDIKISHA NA IDARA YA MISITU ILI KUNUFAIKA NA MIPANGO YA SEREKALI.

Na Isaac Waihenya,  Wakaazi wa kaunti ya Marsabit wametakiwa kutunza miche ambayo imepandwa ili kuongezea kiwango cha miti hapa jimboni. Kulingana wa afisa mkuu katika idara ya misitu na mali asili kaunti ya Marsabit Pauline Marleni aliyeongea na Radio Jangwani kwa njia ya kipekee,ni kwamba iwapo jamii haitatunza miche iliyopandwa[Read More…]

Read More

WAKAAZI WA MARSABIT WATOA MAONI TOFAUTI KUHUSIANA NA MAPENDEKEZO YA KUUNDWA KWA OFISI YA KIONGOZI WA UPINZANI.

Na Talaso Huka Wakaazi wa kaunti ya Marsabit wametoa hisia mseto kuhusu pendekezo la kuundwa kwa afisi rasmi ya kiongozi wa upinzani. Baadhi ya waliozungumza na Radio Jangwani wameunga mkono pendekezo hilo wakisema kuwa kuundwa  kwa ofisi rasmi ya upinzani itasaidia katika kuwajibisha serikali Hata hivyo mmoja wa mkaazi ameonekana kupinga[Read More…]

Read More

WAAKAZI WA FOROLLE, NORTH HORR WAITAKA SERIKALI KUFANYA ENEO HILO KUWA KAUNTI NDOGO KUTOKANA NA UMBALI WA HUDUMA ZA SERIKALI

NA GRACE GUMATO Wakaazi wa Forolle na Elebor wamehimizwa kuishi kwa amani wakati ambao usalama unazidi kuimarishwa katika mipaka ya Kenya na Ethiopia. Akizungumza katika mkutano wa usalama unaofanyika katika maeneo yanayopakana na nchi jirani ya Ethiopia kamishna wa kaunti ya Marsabit James Kamau amewahakikishia wakaazi hao usalama wa kutosha[Read More…]

Read More

DARA YA UVUVI MARSABIT YATAKIWA KUWEKA MIKATATI ITAKAYOSAIDIA UCHUKUZI KATIKA ZIWA TURKANA NA KUPUNGUZA AJALI ZA MASHUA KATIKA ZIWA HILO.

Na JohnBosco Nateleng’ Wito umetolewa kwa serekali ya kaunti ya Marsabit kupitia idara ya uvuvi imetakiwa kuweka mikatati ambayo itakuwa ikilinda uchukuzi unaoendelea katika ziwa Turkana ili kuweza kupunguza ajali za mashua zinazoshuhudiwa katika ziwa hilo. Kwa mujibu wa aliyekuwa mwaniaji wa kiti cha MCA wadi wa Loiyangalani na ambaye[Read More…]

Read More

SEREKALI YA JIMBO LA MARSABIT YATAKIWA KUWASAIDIA WAKULIMA KUYATAYARISHA MASHAMBA YAO WAKATI WA UPANZI ILI KUEPUKANA NA NJAA

Na JB Nateleng Wito umetolewa kwa idara ya kilimo pamoja na serekali ya kaunti ya Marsabit kuweza kuwasaidia wakulima katika utayarishaji wa mashamba wanaposubria msimu wa mvua. Wakizungumza na idhaa hii kwa njia ya kipekee, mzee Wako Gusia ambaye ni mzee wa manyatta Konso Dakabaricha, eneobunge la Saku kaunti ya[Read More…]

Read More

SHUGHULI ZA MASOMO NA BIASHARA ZATATIZIKA BALESARU, DUKANA KUTOKNA NA UTOVU WA USALAMA.

 Na Grace Gumato Shughuli za masomo na biashara zimeadhirika katika eneo  la Balesaru na Dukana kutokana na mzozo wa mipaka katika taifa la Kenya na taifa njirani la Ethiopia. Wakizungumza katika kikao cha usalama kilichowaleta pamoja jamii zinazoishi kwenye mipaka wakaazi wa eneo hilo wakiongozwa na  mwakilishi wa akina mama[Read More…]

Read More

WAKAAZI WA MARSABIT WANAOISHI KARIBU NA MISITU WATAKIWA KUKOMA KULISHA MIFUGO YAO NDANI YA MSITU HADI WAKATI WA KIANGAZI.

Na Talaso Huka Wakaazi wa Marsabit wanaoishi karibu na misitu wameshauri kukoma kulisha mifugo yao ndani ya msitu hadi wakati wa kiangazi. Akizungumza na Radio Jangwani Naibu msisamizi wa idara ya msitu Kadiro Oche amewataka wafugaji kuzidi kutumia nyasi zilizopo malishoni mwanzo kabla ya kuvamia misitu kwa ajili ya malisho.[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter